[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]WAZUNGU
Mtoto akitaka kulala mzaz anaanza kumsomea hadith nzur kweny kitabu zenye mafundisho ya watoto mpaka mtoto analala.
WABONGO
Mtoto akitaka kulala anatishwa,utasikia "wewe hebu lala upesi eeh dudu hilo,dudu hilo!,nazima taa nazima. [emoji23]
Iphone 8 or X ?
Duh wewe mwenzangu form one C....,. MieMia tanu mkato sufuri sufuri mkato sufuri sufuri nukta tansanias shingilingi!...
Nimejaribu, maana me form one C...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]HIVI HUYU BAHATI NASIBU NAYE NI MTOTO WA DIAMOND PLATINUM
Iphone 10 hiyo[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Iphone 8 or X ?
Duh alibakari wee noma.Kwa hiyo unasimama kwenye $$Leo kwenye daladala wakati natoka Mbagala ilikuwa imejaza kishenzi, sasa kuna mdada tukawa tumepeana migongo, dadeki mdada alikuwa kajazia[emoji3][emoji3] basi namimi nikawa nampiga kama vile jogoo, yaani full kumjambia[emoji13] [emoji13] [emoji13] sijui kama hana mimba[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Ndio tena nimemfanyia kama vile jogoo anavyofanyaga[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Duh alibakari wee noma.Kwa hiyo unasimama kwenye $$
Nyuma ya wenye mizigo.
Daah dude limeamka kwa kusoma haya manenoWAKUU NA SWALI MOJA
Nini hasa faida ya chupi na umuhimu wake??
Ukivaa chupi ukawa umekaa vibaya ikionekana unaambiwa umekaa uchi.
Usipovaa chupi ukaonekana hujavaa chupi unaambiwa upo uchi...
Sasa hapo inakuaje!!!
Sent from Calculator Phone vesion007
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]sh 500,00,00 tunaisomaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kama utakipenda kimoja njoo PM tuzungumze biashara
1. Freezer aina ya Boss Tsh250000. Haina mlango wa mtungi wa gesi
.
2. Feni ya chini Tsh 15000/=. Inawaka kwa machale.. yaeza kukaa hadi masaa 2 haijaanza kuzunguka
,
3. Pasi ya umeme aina ya Phillips. Tsh 12000/=, haishiki moto kabisa hata ikae nusu saa kwny umeme na kidude cha kuregulate moto kimeharbika..
4. Meza ya plastic Tsh 75000/= ina miguu 3 na mmoja mfupi kidg.
5. Vikombe vya udongo Dozen 1 Tsh 25000/= ila vilipata ajali kidg.. vimekatika mikono na vingne vimetoboka chini
6.Redio ya caset lkini haina transiforma bei 34000
7.Flat scren bei 50000 kioo kimepasuka na haina rimot control na batan zime haribika fasta nichek [emoji41]
8.Simu aina ya Sumsung s7 edge 470000/= ilidondokea kwenye maji ikapiga shot, kitufe cha kuwashia hakipo na hata ukiweka kingine haiwaki, ni simu nzuri bora na ya kisasa!
9.Kamera aina ya sony mp 16 bei 62500/= haina lens, ni mbovu hata mafundi hawaitaki kama spea.
10.Bajaji aina ya tvs, bei 1400000/= haina matairi, viti wala usukani! Imetumika miaka 8 na inadaiwa kodi ya miaka 2!
Karibuni, bidhaa ni nyingi sana, zipo za aina tofauti tofauti kama magari, ndege, treni, meli, maparashuti, vifaru, n.k vyote hivyo vikiwa katika hali mbaya sana, (ikumbukwe hizi ni toys za watoto zilizotumika huko uswahilini na kutupwa kwenye majalala)
[emoji29] [emoji29] [emoji29]Hii ngoma imenibamba jo[emoji4][emoji4]
[emoji666] [emoji820]──────── 03.40
Kuna mjinga kajaribu kuplay[emoji23][emoji23][emoji23]