Atakoma kukomesha[emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] nahisi huyo mmiliki alizimia[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Wanaume tujiongeze jameni*U CANNOT give a woman everything she needs. If God Himself gave them eyebrows, they shave it and draw their own. God gave them nails, they cut it off and fixed their own, God gave them* *hair, they cut it off and fixed their own,He gave them breast, they repackage it to what they want, God still gave them buttocks ,they arrange it to the size they want.*
*If even God can't satisfy them then who are U to think that you can please them ? [emoji23][emoji23]. My brother don't kill yourself*
Kipofu aliingia mgahawani na kuketi kwenye kiti.Mmiliki wa mgahawa akaja kumuuliza kipofu unataka chakula gani au nikuLetee menu uode?Kipofu akajibu mimi sioni ila niletee kijiko kichafu ninuse halafu nitaoda.Mmiliki akamletea kijiko kichafu.Kipofu akanusa Halafu akasema mmm wali maharage niletee.Kipofu akala.Mara ya pili akaja mgahawani akaomba kijiko kichafu akanusa akasema mmmm Ugali nyama niletee.Mara ya tatu Kipofu akaja tena.Mmiliki akamwambia Mke wake Rose
Leo nataka kumkomesha huyu Kipofu anajifanya anajuwa kunusanusa.Mmiliki akamwambia Rose chukua hichi kijiko kiingize kwenye chupi yako Halafu nipe.Rose a kafanya kama alivyo agizwa.Mmiliki akachukua kijiko akampelekea Kipofu.Kipofu alivyo nusa akanusa Tena
Akamwambia Mmiliki kumbe Rose anafanya kazi hapa!!
Hahahaha*Jana Mtoto wa Dada yangu aliniuliza swali la kizushi, Eti Mjomba ukichanganya OMO na FOMA unaweza kupata povu??*
*Nikamjibu, Lazima upate kwa kuwa zote ni sabuni za unga.*
*Kisha nikamwambia,Siku nyingine usiwe unauliza maswali ya kipumbavu*.[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
*Akaniambia majibu yako ndio yakipumbavu. Utapataje povu bila kuweka na maji?*
*Tangu Jana najiuliza nimekosaje swali kizembe?*
*sasa namtafutia sababu afanye kosa nimtie bakora za maana kwa kunivunjia heshima.*[emoji3][emoji3]
Hahahaha....nimechekajeeeeee jamaniKipofu aliingia mgahawani na kuketi kwenye kiti.Mmiliki wa mgahawa akaja kumuuliza kipofu unataka chakula gani au nikuLetee menu uode?Kipofu akajibu mimi sioni ila niletee kijiko kichafu ninuse halafu nitaoda.Mmiliki akamletea kijiko kichafu.Kipofu akanusa Halafu akasema mmm wali maharage niletee.Kipofu akala.Mara ya pili akaja mgahawani akaomba kijiko kichafu akanusa akasema mmmm Ugali nyama niletee.Mara ya tatu Kipofu akaja tena.Mmiliki akamwambia Mke wake Rose
Leo nataka kumkomesha huyu Kipofu anajifanya anajuwa kunusanusa.Mmiliki akamwambia Rose chukua hichi kijiko kiingize kwenye chupi yako Halafu nipe.Rose a kafanya kama alivyo agizwa.Mmiliki akachukua kijiko akampelekea Kipofu.Kipofu alivyo nusa akanusa Tena
Akamwambia Mmiliki kumbe Rose anafanya kazi hapa!!
Hahahahapolisi alishika watu wa tatu maskani wakinuka bangi lakini hakujua alovuta ni nani kati yao,basi Akumuuliza wa kwanza " Mechi ya chelsea na Manchester nani kashinda ? akajibu "Manchester
" Akamuuliza wa pili " kati ya mbwa na paka nani alishinda vita Kati yao? akajibu mbwa .
Akamuuliza wa tatu umejifunza nini kutokana na haya majibu ? akajibu nimejifunza Manchester na mbwa watacheza fainali. [emoji23][emoji23]♀[emoji125]♀[emoji125]♀[emoji125]
Hahahahaha*Umekula mshikaki Wa 500 unatenmbea na stick mdomon je siku ukila kuku c utatembea na kun wewe*
Hahahaha*Leo nimekutana na Ombaomba akanambia naomba hela. Nikamwambia sina hela, akasema sasa unazurula zurula nini si ukae hapa tuombe wote!
[emoji3][emoji3]
Hahahahaha
Kama una NYUNDO mgonge.Unakuta mwanamke mwembamba halafu kavaa jeans imembana, t-shirt imembana, raba inambana halafu juu kavaa kofia
Akitembea Kama msumari wa bati
Your amizing bro[emoji106][emoji106]
Hilarious.
What is the Difference between Wife & Girlfriend
Great Thought in Modified Version-
Wife is like a TV &
Girlfriend is like a MOBILE.
At home u watch TV, but when u go out u take ur MOBILE.
Sometimes u enjoy TV, but most of the time u play with ur MOBILE.
TV is free for life,
but for the MOBILE, if you don't pay, the services will be terminated.
TV is big, bulky & most of the time old.!
But the MOBILE is cute, slim, curvy & very portable.
Operational costs for TV is often acceptable, but for the MOBILE it is often high & demanding.
TV has a remote, MOBILE doesn't.
Most importantly, MOBILE is a two-way communication (u talk & listen) but
with the TV you MUST only listen (whether you want to or not)[emoji13]
Last but not least..!
TVs don't have viruses, but MOBILEs often do...
Take Care.
Issued in Public interest![emoji2]
[emoji482][emoji482] CHEERS .[emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1]*Mama ako anakesha anakuombea ww Chausiku matembele ubarikiwe na ufanikiwe[emoji22][emoji22][emoji22]ww ndo kwanza umebadili jina unaitwa Queen of swaggz van Dimpoz[emoji23][emoji23][emoji23]My dear unawapa kazi malaika kukutafta wakupe baraka zako[emoji23][emoji23][emoji23]Utaishia kusema hufanikiwi umelogwa kumbe umejiloga mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]*
Binti tutake radhi.