[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
BwaaaahahaaahaaEti mwanaume naye unamkuta anaimba ......
NAMPA ×3
NAMPA PAPAAAAAA [emoji445][emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji445]
Wanaume tuweni serious jamani [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Unatafuta kupigwa na mwiko wewe si bureNdugu zangu wanaume tuache kuwaita wake zetu majina cheap mfano honey,sweet,chocolate,sugar...icecream..hivi vitudukani havizidi hata shilingi elfu moja tuwaite majina ghali kama kiroba changu cha mchele,petrol yangu,my university fees,dumu langu la mafuta...tuwape thamani[emoji123][emoji123]
[emoji3][emoji3]
Natamanije nikuone ulivyokula hamira ukawa kama unga ubaosubiri kuokwa*Wahenga nao mda mwingine waongo�*
*Jana niliona msafara wa nyuki nikakumbuka ule msemo wa fata nyuki ule asali*
*KILICHONIKUTA NI SIRI YANGU[emoji37]*
[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
Kuna vijimisemo vifupi vimeibuka huku kwenye mitandao kwa sasa, yaani ni full burudani!
Ukivisomo mwisho lazima ubaki mdomo wazi au ucheke, baadhi ya niliyokutana nayo naweka hapa, pia karibuni kwa wenye zaidi tuburudike pamoja!
Leo kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya LIFTI kusimama...wakati tupo kwenye lift Nilikua nayaangalia MAZIWA yake akasema "Bonyeza Moja"[emoji196][emoji196] mi si nikalibonyeza?
Yaani had sasa
bado najiuliza nilipokosea.
Hivi Utajisikieje Utakaposikia Rafiki Yako wa Karibu Hajaja Kwenye Mazishi Yako ???!
Nadhani Mimi Sitamwongelesha Tena !!!! [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
I think nakaribia kupona
Nimenunua chips ili nile kwa bahat mbaya mtoto wa mama mwingine amekaa next to me akaanza kuzililia.
Imebidi nivae earphones. [emoji19]Napenda watoto, ila utoto ndio sipendi..
Jana nimepita njia ya mkato makaburini warembo wawili wakawa wananikimbilia wanatetemeka Eti tunaogopa kupita peke yetu na mm Nikawajibu hata mm nilivyokuwa hai nilikuwa naogopa sana . Wakazimia
Sipendagi kufatwa fatwa mm[emoji57][emoji57][emoji57]
Safi sanaUSIKOSE AMANI WALA FURAHA KISA HUNA MPENZI SIKU YA WAPENDANO,MBONA MIMI SIKU YA UKIMWI SIKUA NA UKIMWI WALA SIKUKOSA AMANI....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AFRICA KUNA VITUKO HEBU
SOMA HII
Mlevi kakutwa akikojoa eneo la
shule, Mwalimu mkuu akamuuliza,
hilo bango hapo limeandikwaje?
Mlevi akajibu 'USIKOJOE HAPA'.
Mwl: Kwahiyo unafanya nini
hapo?
Mlevi kwa makini na upole
akajibu: HAKI YA MUNGU NILIJUA
NDIO JINA LA SHULE!!