Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

7f002ddf55424007ae159c056d960393.jpg
 
Eti mwanaume naye unamkuta anaimba ......
NAMPA ×3
NAMPA PAPAAAAAA [emoji445][emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji445]

Wanaume tuweni serious jamani [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Bwaaaahahaaahaa
 
MUME ni kama MWIKO wa kupakulia chakula . Mwenzio akitumia unaoshwa na wewe unautumia kama kawaida . Kwa hiyo hakuna mwanaume MALAYA ila wanaume wote ni BABALISHE tu . Kwa hiyo wewe usiogope na wala usione wivu ukasema "ooh mume wng Malaya !" Hapana .we muulize kwa upole tu. BABALISHE huo mwiko UMEUSUUZA? Maana na Mimi nataka kuutumia . WATUMIE WANAWAKE WOTE WENYE WIVU KWA WAPENZI WAO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndugu zangu wanaume tuache kuwaita wake zetu majina cheap mfano honey,sweet,chocolate,sugar...icecream..hivi vitudukani havizidi hata shilingi elfu moja tuwaite majina ghali kama kiroba changu cha mchele,petrol yangu,my university fees,dumu langu la mafuta...tuwape thamani[emoji123][emoji123]
[emoji3][emoji3]
 
Unatafuta kupigwa na mwiko wewe si bure
 
AFRICA KUNA VITUKO HEBU
SOMA HII
Mlevi kakutwa akikojoa eneo la
shule, Mwalimu mkuu akamuuliza,
hilo bango hapo limeandikwaje?
Mlevi akajibu 'USIKOJOE HAPA'.
Mwl: Kwahiyo unafanya nini
hapo?
Mlevi kwa makini na upole
akajibu: HAKI YA MUNGU NILIJUA
NDIO JINA LA SHULE!!
 
*Wahenga nao mda mwingine waongo�*
*Jana niliona msafara wa nyuki nikakumbuka ule msemo wa fata nyuki ule asali*
*KILICHONIKUTA NI SIRI YANGU[emoji37]*
[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
 
Natamanije nikuone ulivyokula hamira ukawa kama unga ubaosubiri kuokwa
 
Kuna vijimisemo vifupi vimeibuka huku kwenye mitandao kwa sasa, yaani ni full burudani!
Ukivisomo mwisho lazima ubaki mdomo wazi au ucheke, baadhi ya niliyokutana nayo naweka hapa, pia karibuni kwa wenye zaidi tuburudike pamoja!

Leo kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya LIFTI kusimama...wakati tupo kwenye lift Nilikua nayaangalia MAZIWA yake akasema "Bonyeza Moja"[emoji196][emoji196] mi si nikalibonyeza?
Yaani had sasa
bado najiuliza nilipokosea.

Hivi Utajisikieje Utakaposikia Rafiki Yako wa Karibu Hajaja Kwenye Mazishi Yako ???!
Nadhani Mimi Sitamwongelesha Tena !!!! [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
I think nakaribia kupona

Nimenunua chips ili nile kwa bahat mbaya mtoto wa mama mwingine amekaa next to me akaanza kuzililia.
Imebidi nivae earphones. [emoji19]Napenda watoto, ila utoto ndio sipendi..

Jana nimepita njia ya mkato makaburini warembo wawili wakawa wananikimbilia wanatetemeka Eti tunaogopa kupita peke yetu na mm Nikawajibu hata mm nilivyokuwa hai nilikuwa naogopa sana . Wakazimia
Sipendagi kufatwa fatwa mm[emoji57][emoji57][emoji57]

Good one for laughter
 
Ndugu zangu wanaume tuache kuwaita wake zetu majina cheap mfano honey,sweet,chocolate,sugar...icecream..hivi vitudukani havizidi hata shilingi elfu moja tuwaite majina ghali kama kiroba changu cha mchele,petrol yangu,my university fees,dumu langu la mafuta...tuwape thamani[emoji123][emoji123][emoji123][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom