Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah!```When your wife keeps her head on your chest and slowly asks, "Dear, do you have any women in your life other than me"? Remember your answer is not important at this time, what is important is your heartbeat. Keep your heart in control, Don't panic !!!```
Am waitingIpo jukwaa la photos. Nitakutag huko
Dont waitAm waiting
Naomba na mimi unitag numbisa, kwenye hiyo picha ya gari.Ipo jukwaa la photos. Nitakutag huko
Hahahahaa duhUkichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria.
Hapo sasa[emoji41]Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara?
Naomba na mimi unitag numbisa, kwenye hiyo picha ya gari.
Nimejifunza kitu hahahahahah```When your wife keeps her head on your chest and slowly asks, "Dear, do you have any women in your life other than me"? Remember your answer is not important at this time, what is important is your heartbeat. Keep your heart in control, Don't panic !!!```
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Palitokea mashindano ya Kula ugali na mboga za ajabu ajabu ,washiriki walikuwa watatu.
Mshiriki wa kwanza akala ugali na chumvi mpaka akamaliza nguna yake.
Mshiriki wa 2 akala ugali na maji ya mtungi, watu wakashangilia almanusura ashinde.
Mshiriki wa 3 yeye akaingia uwanjani bila stress, akakata tonge kuuubwaa halafu akawa anatoeza vile viugali vidogo vidogo kama mboga .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dunia ina mambo sana hebu cheka kdg
Kuna mama mmoja anaumbo zuri sana hipsi za kutosha na mkia wa nguvu kiuno nyigu na uso kama alama ya love, sasa huyo mama anakaa sehemu ambayo ina choo kisichokuwa na paa
Siku moja jirani yake akawa anataka kuweka umeme kwenye nyumba yake akawaita mafundi toka tanesco walipofika wakapanda juu ya nguzo kwa ajili ya kuunganisha nyaya, wakaweka vzr wakamaliza, fundi aliposhuka akamwona yule mama anaenda kuoga, ghafla akajifanya kasahau kuseti waya mmoja kule juu akarudi kuurekebisha lengo ni ale chabo
Yule mama akaingia bafuni hajui hili wala lile jamaa akapanda akaanza kumwangalia akivua nguo akatoa kanga jamaa anaangalia tu katoa sidiria jamaa anaangalia tu huku kaning'inia juu sasa wanawake huwa wanapendaga kuoga na chupi mama akaanza kuoga jamaa akaropoka bado hujavua chupii.... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kilichoendelea jamaa alipigwa shoti akaangukia dushee likavunjika mpaka sasa kabakiwa na kibamia tu