Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Daah!
Madam Soniag G na ww huwa unasikiliza heartbeat kama dear anapata arrhythmia unapomuuliza hilo swali
 
Nimejifunza kitu hahahahahah
 
Palitokea mashindano ya Kula ugali na mboga za ajabu ajabu ,washiriki walikuwa watatu.
Mshiriki wa kwanza akala ugali na chumvi mpaka akamaliza nguna yake.
Mshiriki wa 2 akala ugali na maji ya mtungi, watu wakashangilia almanusura ashinde.
Mshiriki wa 3 yeye akaingia uwanjani bila stress, akakata tonge kuuubwaa halafu akawa anatoeza vile viugali vidogo vidogo kama mboga .
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…