Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Rafik angu kachora tatoo ya jina la dem wake juzi... leo kaskia dem wake anaolewa nipo nae apa tunasubiri pasi ipate moto...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si ataweka kovu lisilo na mvuto jamani?? Atafute mwingine mwenye jina hilo hilo. hahaha
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Duuuuuuuuuuuuu
 
Kuna mtz mmoja, mkenya mmoja na mganda mmoja walikamatwa na walinzi mipakani wkt wanatoroka nchi zao
Sasa wakaambiwa waende porini kila mmoja alete matunda kumi analolipenda ili kufanya watakachoamriwa
Wakaenda kuchukua mkenya akaja na zambarau kumi akaambiwa azimeze bila kutafuna wala kucheka akaanza kumeza kufika ya kumi akashindwa akaambiwa akae pembeni akaja mganda akiwa na zabibu akaanza kumeza kufika ya pili akacheka sana akaambiwa akae pembeni
Sasa yule mkenya akamuuliza kwanini umecheka wakati ulikua na uwezo wa kumaliza?
Akacheka sana akasema alimwona mtz anakuja na mafenisi
[emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wajameni eti ukitaka kwenda nje ya ndoa unapanda magari ya wapi [emoji125][emoji125]
inategemea huyo unaeenda nae nje ya ndoa yuko wap.Kama uko Dar nae yuko Moro,ukipanda magar ya Mbeya,Dodoma,Singida,Mwanza,Bukoba na hat ya hapo Moro utafikatuuu..
 
Nimemwambia baba narudi chuo mapema kujiandaa na mitihani ya SUP eti anauliza SUP ndio nini?

Nimemjibu
"SPECIAL UNIVERSITY PEOPLE "
Naona ameniongeza hela na hongera juu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
baba angu mtu wa Mwanza[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…