Wajameni eti ukitaka kwenda nje ya ndoa unapanda magari ya wapi [emoji125][emoji125]
Nimecheka mpaka tumbo limeniuma aisee. Sijui kwa nn aisee!
Hahaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa........```NIMESHA JUA KUMBE WALIO KUWA WANATUJAZIA TEXT HUMU NI FORM FOUR```
*Mkajaze na booklets sasa*
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
DAAAH una utani MBAYAA AXEEEE*wasukuma wanakaa bafuni dakika30 dakika5 anaoga zilizobaki anasugua yebo*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahaaaHivi ushawahi fahamu kuwa,
Mtu pekee anaeweza kukuchagulia nguo za kuvaa mbali na mkeo ni tanesco...
Kweli bangi hazijawahi kumuacha mtu salamaKuna vijimisemo vifupi vimeibuka huku kwenye mitandao kwa sasa, yaani ni full burudani!
Ukivisomo mwisho lazima ubaki mdomo wazi au ucheke, baadhi ya niliyokutana nayo naweka hapa, pia karibuni kwa wenye zaidi tuburudike pamoja!
Leo kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya LIFTI kusimama...wakati tupo kwenye lift Nilikua nayaangalia MAZIWA yake akasema "Bonyeza Moja"[emoji196][emoji196] mi si nikalibonyeza?
Yaani had sasa
bado najiuliza nilipokosea.
Hivi Utajisikieje Utakaposikia Rafiki Yako wa Karibu Hajaja Kwenye Mazishi Yako ???!
Nadhani Mimi Sitamwongelesha Tena !!!! [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
I think nakaribia kupona
Nimenunua chips ili nile kwa bahat mbaya mtoto wa mama mwingine amekaa next to me akaanza kuzililia.
Imebidi nivae earphones. [emoji19]Napenda watoto, ila utoto ndio sipendi..
Jana nimepita njia ya mkato makaburini warembo wawili wakawa wananikimbilia wanatetemeka Eti tunaogopa kupita peke yetu na mm Nikawajibu hata mm nilivyokuwa hai nilikuwa naogopa sana . Wakazimia
Sipendagi kufatwa fatwa mm[emoji57][emoji57][emoji57]
Hebu fikiria, harufu ya kyupi cha Rose haa haaa haaaaa mweeh!Hahaha
Do me, I do you. Nimecheka sana.Jana niliingia library ya chuo, ilikuwa kimya sana. Wakati natafuta mahali pa kukaa, nikakutanisha macho na mtoto mmoja hivi shombe shombe mkali balaa. Akatabasamu kisha akainamia kitabu chake, akaendelea kusoma.
Moyoni nikajisemea : " FURSA "
Nikamsogelea, kwa sauti ya chini sana iliyotutosha sisi wawili tu nikamchombeza : " Habari mrembo! Ninaweza kukaa hiki kiti cha jirani yako? "
Akanijibu kwa sauti kubwa mno hakuna ambaye hakuisikia mle ndani : " SIWEZI KULALA NA WEWE, LABDA UNIROGE "
Kila mtu alinigeukia mimi na kunishangaa. Kwa unyonge nikaenda kukaa kwenye nafasi nyingine iliyokuwa wazi. Baada ya dakika mbili yule mrembo akanifuata hadi nilipokuwa nimekaa. Akiniambia kwa sauti hafifu mno : " Ninasoma Psychology, hivyo ninajua unachofikiria. Unajihisi nimekuaibisha sana..sio? "
Nikaropoka kwa sauti kubwa : " LAKI 2 KWA USIKU MMOJA TU! AH...WAPI! LABDA UNIROGE ". Kila mtu alicheka kwa sauti mle library.
Halafu nikamwambia kwa sauti ya chini mno : " ninasoma sheria, ninajua kumfanya mtu ajione mwenye hatia "
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]