Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

1fefe0965c281180e618ff91cdbd1ee5.jpg
 
```NIMESHA JUA KUMBE WALIO KUWA WANATUJAZIA TEXT HUMU NI FORM FOUR```

*Mkajaze na booklets sasa*
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa........

Kinachowakuta huko aseeeee

Utasikia ngoja ngoja yaumiza matumbo
 
"Inatabiriwa kutakuwa na mvua kubwa siku za karibu,usihangaike ,vuta pesa kutoka Benki ufanye malipo na manunuzi mbalimbali, ukiwa nyumbani kwako" Tigo hao
Sasa kwani mi nimewaambia nataka kununua mvua?? Mfyuu!!
 
Kama kipindi cha utoto hukuwah kuambiwa na wazazi kavae viatu twende

Unaporudi baada ya kumaliza kuvaa unakuta wamekukimbia wewe sio mwafrika[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
 
Kuna vijimisemo vifupi vimeibuka huku kwenye mitandao kwa sasa, yaani ni full burudani!
Ukivisomo mwisho lazima ubaki mdomo wazi au ucheke, baadhi ya niliyokutana nayo naweka hapa, pia karibuni kwa wenye zaidi tuburudike pamoja!

Leo kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya LIFTI kusimama...wakati tupo kwenye lift Nilikua nayaangalia MAZIWA yake akasema "Bonyeza Moja"[emoji196][emoji196] mi si nikalibonyeza?
Yaani had sasa
bado najiuliza nilipokosea.

Hivi Utajisikieje Utakaposikia Rafiki Yako wa Karibu Hajaja Kwenye Mazishi Yako ???!
Nadhani Mimi Sitamwongelesha Tena !!!! [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
I think nakaribia kupona

Nimenunua chips ili nile kwa bahat mbaya mtoto wa mama mwingine amekaa next to me akaanza kuzililia.
Imebidi nivae earphones. [emoji19]Napenda watoto, ila utoto ndio sipendi..

Jana nimepita njia ya mkato makaburini warembo wawili wakawa wananikimbilia wanatetemeka Eti tunaogopa kupita peke yetu na mm Nikawajibu hata mm nilivyokuwa hai nilikuwa naogopa sana . Wakazimia
Sipendagi kufatwa fatwa mm[emoji57][emoji57][emoji57]
Kweli bangi hazijawahi kumuacha mtu salama
 
Jana niliingia library ya chuo, ilikuwa kimya sana. Wakati natafuta mahali pa kukaa, nikakutanisha macho na mtoto mmoja hivi shombe shombe mkali balaa. Akatabasamu kisha akainamia kitabu chake, akaendelea kusoma.

Moyoni nikajisemea : " FURSA "
Nikamsogelea, kwa sauti ya chini sana iliyotutosha sisi wawili tu nikamchombeza : " Habari mrembo! Ninaweza kukaa hiki kiti cha jirani yako? "

Akanijibu kwa sauti kubwa mno hakuna ambaye hakuisikia mle ndani : " SIWEZI KULALA NA WEWE, LABDA UNIROGE "

Kila mtu alinigeukia mimi na kunishangaa. Kwa unyonge nikaenda kukaa kwenye nafasi nyingine iliyokuwa wazi. Baada ya dakika mbili yule mrembo akanifuata hadi nilipokuwa nimekaa. Akiniambia kwa sauti hafifu mno : " Ninasoma Psychology, hivyo ninajua unachofikiria. Unajihisi nimekuaibisha sana..sio? "

Nikaropoka kwa sauti kubwa : " LAKI 2 KWA USIKU MMOJA TU! AH...WAPI! LABDA UNIROGE ". Kila mtu alicheka kwa sauti mle library.

Halafu nikamwambia kwa sauti ya chini mno : " ninasoma sheria, ninajua kumfanya mtu ajione mwenye hatia "

[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Do me, I do you. Nimecheka sana.
 
Back
Top Bottom