Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Mwanaume:
haubeti
hauzini
bangi huvuti
sigara huvuti
pombe hunywi
ukipishana na mwanamke mwenye tako kubwa hugeuki
Mpira huangalii
Hukai na washkaji
Hutoki nyumban[emoji1] [emoji1] [emoji1]
ndugu yangu wewe ni
"MWANAUME HEWA"
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Mpira huangalii
Hukai na washikaji
Hutoki nyumban no
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
 
Nimekutana na jamaa yangu akaniuliza nasikia umepata uhamisho nami nikamjibu ndio kisha akaniuliza hivi ni kweli umehamishwa au umepangiwa kazi nyingine?
Nb :hata kama tunachukiana lakini sio kwa kiwango hiki.
 
Dah huyu mhudumu kiboko
 
UKISIKIA FREQUENCY ZIMEINGILIANA
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

MGONJWA: doctor nina tatzo la kuumwa tumbo ninapomaliza kula
DOCTOR: huwa unakula matunda?
MGONJWA: ndio nakula
DOCTOR: sasa jitahidi ule na maganda yake ila hakikisha umeyaosha vzur

mgonjwa kimya[emoji50] [emoji50]
DOCTOR: vipi mbona hujibu?
MGONJWA: nafikiria kuhusu kula hayo maganda
DOCTOR: kwani unakula matunda gani?
MGONJWA: madafu na madoriani
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Teh teh kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…