Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Mwanaume:
haubeti
hauzini
bangi huvuti
sigara huvuti
pombe hunywi
ukipishana na mwanamke mwenye tako kubwa hugeuki
Mpira huangalii
Hukai na washkaji
Hutoki nyumban[emoji1] [emoji1] [emoji1]
ndugu yangu wewe ni
"MWANAUME HEWA"
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Mwanaume:
haubeti
hauzini
bangi huvuti
sigara huvuti
pombe hunywi
ukipishana na mwanamke mwenye tako kubwa hugeuki
ndugu yangu wewe ni
"MWANAUME HEWA"
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Mpira huangalii
Hukai na washikaji
Hutoki nyumban no
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
439747bd5e7c498bc6c79dbb44b728e1.jpg
 
Basi utaondoka na stress..!

Stress ni nini??
Stress ni pale umeenda kijijini kwa bibi ako huku umebeba jeans zako tano zile ja mtindo wa kuchanika (chanika jeans) sasa siku ukazifua ukazianika ukaenda zako kutembea ile unarudi jioni unakuta bibi yako kazianua afu kazishona zot

Daaaaah...
 
Nimekutana na jamaa yangu akaniuliza nasikia umepata uhamisho nami nikamjibu ndio kisha akaniuliza hivi ni kweli umehamishwa au umepangiwa kazi nyingine?
Nb :hata kama tunachukiana lakini sio kwa kiwango hiki.
 
Mhudumu analeta supu huku kidole gumba kimo ndani ya bakuli.
MTEJA:- "Mbona unaweka dole lako ndani ya supu yangu?
MHUDUMU:- "Dokta kaniambia kidonda kiwe na joto saa zote ndo kitapona".
MTEJA(kwa hasira) -: "si uwe unakichomeka matakoni kwako?"
MHUDUMU:-"Ndio huwa naweka nikiwa jikoni"
MTEJA:-"ah kum***e!! kunywa mwenyewe ms***e nin?.
MHUDUMU:-"Matusi yanatoka wap jaman?kunywa bwana mbona hata jana ulikunywa tu na hujafa"
Dah huyu mhudumu kiboko
 
UKISIKIA FREQUENCY ZIMEINGILIANA
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

MGONJWA: doctor nina tatzo la kuumwa tumbo ninapomaliza kula
DOCTOR: huwa unakula matunda?
MGONJWA: ndio nakula
DOCTOR: sasa jitahidi ule na maganda yake ila hakikisha umeyaosha vzur

mgonjwa kimya[emoji50] [emoji50]
DOCTOR: vipi mbona hujibu?
MGONJWA: nafikiria kuhusu kula hayo maganda
DOCTOR: kwani unakula matunda gani?
MGONJWA: madafu na madoriani
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
UKISIKIA FREQUENCY ZIMEINGILIANA
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

MGONJWA: doctor nina tatzo la kuumwa tumbo ninapomaliza kula
DOCTOR: huwa unakula matunda?
MGONJWA: ndio nakula
DOCTOR: sasa jitahidi ule na maganda yake ila hakikisha umeyaosha vzur

mgonjwa kimya[emoji50] [emoji50]
DOCTOR: vipi mbona hujibu?
MGONJWA: nafikiria kuhusu kula hayo maganda
DOCTOR: kwani unakula matunda gani?
MGONJWA: madafu na madoriani
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Teh teh kazi ipo
 
Back
Top Bottom