Kipanga boy
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,409
- 1,219
DuuuhDah huyu mhudumu kiboko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jana niliingia library ya chuo, ilikuwa kimya sana. Wakati natafuta mahali pa kukaa, nikakutanisha macho na mtoto mmoja hivi shombe shombe mkali balaa. Akatabasamu kisha akainamia kitabu chake, akaendelea kusoma.
Moyoni nikajisemea : " FURSA "
Nikamsogelea, kwa sauti ya chini sana iliyotutosha sisi wawili tu nikamchombeza : " Habari mrembo! Ninaweza kukaa hiki kiti cha jirani yako? "
Akanijibu kwa sauti kubwa mno hakuna ambaye hakuisikia mle ndani : " SIWEZI KULALA NA WEWE, LABDA UNIROGE "
Kila mtu alinigeukia mimi na kunishangaa. Kwa unyonge nikaenda kukaa kwenye nafasi nyingine iliyokuwa wazi. Baada ya dakika mbili yule mrembo akanifuata hadi nilipokuwa nimekaa. Akiniambia kwa sauti hafifu mno : " Ninasoma Psychology, hivyo ninajua unachofikiria. Unajihisi nimekuaibisha sana..sio? "
Nikaropoka kwa sauti kubwa : " LAKI 2 KWA USIKU MMOJA TU! AH...WAPI! LABDA UNIROGE ". Kila mtu alicheka kwa sauti mle library.
Halafu nikamwambia kwa sauti ya chini mno : " ninasoma sheria, ninajua kumfanya mtu ajione mwenye hatia "
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Hahaaa....Hali ilivyokua ngumu sasa ivi Usishangae Mzazi wako akakupa Ada alafu anakuvizia vichochoroni anakuibia.
😀😀😀 Imenitokea Leo hiyo*Hivi nani Alianzishaga Mfumo wa kula Chapati mbili? Maana ukiagiza Tatu kila mtu anakugeukia* [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]😀😀😀 Imenitokea Leo hiyo
kali hii,Kula likeKama Baba yangu hana furaha mim kuishi katika nyumba yake
Basi ondoke anipshe akaishi kwa baba yake
mimi naishi kwenye nyumba ya baba yangu maamaee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dingi karudi home kakuta wife na mtoto wake wakiangalia mtihani ukionyesha alama 25 dingi bila kupapasa macho kamlamba dogo kofi akaangukia penye kochi hajaamka dingi kampelekea teke huku akisema enzi zangu mimi nilikuwa sipati alama za chini hivi mara kamnyanyua dogo akampa kichwa dogo chali. Bimkubwa akaparama "baba Fred utaniulia mtoto bure hii ni mitahani yako tumeitoa stoo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dingi karudi home kakuta wife na mtoto wake wakiangalia mtihani ukionyesha alama 25 dingi bila kupapasa macho kamlamba dogo kofi akaangukia penye kochi hajaamka dingi kampelekea teke huku akisema enzi zangu mimi nilikuwa sipati alama za chini hivi mara kamnyanyua dogo akampa kichwa dogo chali. Bimkubwa akaparama "baba Fred utaniulia mtoto bure hii ni mitahani yako tumeitoa stoo.
Khatari sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uchafuzi wa hali ya hewaNukuu ya leo
KULIA NA KUCHEKA YOOTE NI KELELE
Je KUNYA NA KUJAMBA YOTE NI NINI,,!!!![emoji1321]