Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

1d76f9272d32ffeddaaa4f44433b1054.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijawahi kucheka hivi.
 
Jana niliingia library ya chuo, ilikuwa kimya sana. Wakati natafuta mahali pa kukaa, nikakutanisha macho na mtoto mmoja hivi shombe shombe mkali balaa. Akatabasamu kisha akainamia kitabu chake, akaendelea kusoma.

Moyoni nikajisemea : " FURSA "
Nikamsogelea, kwa sauti ya chini sana iliyotutosha sisi wawili tu nikamchombeza : " Habari mrembo! Ninaweza kukaa hiki kiti cha jirani yako? "

Akanijibu kwa sauti kubwa mno hakuna ambaye hakuisikia mle ndani : " SIWEZI KULALA NA WEWE, LABDA UNIROGE "

Kila mtu alinigeukia mimi na kunishangaa. Kwa unyonge nikaenda kukaa kwenye nafasi nyingine iliyokuwa wazi. Baada ya dakika mbili yule mrembo akanifuata hadi nilipokuwa nimekaa. Akiniambia kwa sauti hafifu mno : " Ninasoma Psychology, hivyo ninajua unachofikiria. Unajihisi nimekuaibisha sana..sio? "

Nikaropoka kwa sauti kubwa : " LAKI 2 KWA USIKU MMOJA TU! AH...WAPI! LABDA UNIROGE ". Kila mtu alicheka kwa sauti mle library.

Halafu nikamwambia kwa sauti ya chini mno : " ninasoma sheria, ninajua kumfanya mtu ajione mwenye hatia "

[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dingi karudi home kakuta wife na mtoto wake wakiangalia mtihani ukionyesha alama 25 dingi bila kupapasa macho kamlamba dogo kofi akaangukia penye kochi hajaamka dingi kampelekea teke huku akisema enzi zangu mimi nilikuwa sipati alama za chini hivi mara kamnyanyua dogo akampa kichwa dogo chali. Bimkubwa akaparama "baba Fred utaniulia mtoto bure hii ni mitahani yako tumeitoa stoo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dingi karudi home kakuta wife na mtoto wake wakiangalia mtihani ukionyesha alama 25 dingi bila kupapasa macho kamlamba dogo kofi akaangukia penye kochi hajaamka dingi kampelekea teke huku akisema enzi zangu mimi nilikuwa sipati alama za chini hivi mara kamnyanyua dogo akampa kichwa dogo chali. Bimkubwa akaparama "baba Fred utaniulia mtoto bure hii ni mitahani yako tumeitoa stoo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni ngumu ni kavu inapoingia ni tamu sana ikiwa ndani haswaaa inapozungushwa na kupelekwa kila kona!!
Ikitoka huwa imelowa tena imelegea na kuisha ugumu kabisa[emoji12]
Hayo ndiyo maajabu ya BIGIJII[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukome kuwaza ujinga sheeenz
 
Hivi ni nani alileta Make Up?

Maana ndiyo aliyeleta mademu matapeli huku nchini

Unakuta Msichana kapost picha anafanana na RIHANNA ila ukikutana naye live anafanana na DROGBA
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Back
Top Bottom