Mkwere Sumbawanga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2015
- 744
- 660
Kwa hiyo tukusaidieje?Vichekesho venyewe hata havichekeshi
Hapo ngoma 1-1Kuna demu kaweka status yake kuwa "wanaume wote mbuzi" nikamuuliza; "Wewe Baba yako umemkatia majani?"
Sasa hivi nikimtumia msg hazipokelewi nahisi kazima simu kwanza anaenda kumkatia majani!
[emoji3] [emoji2]Mwalimu kaniulizaa kama mtoto mdogo anaitwa mchanga... Je mtu mkubwa anaitwaje? ... Nikamjibu anaitwa kokoto..... Ameniitaa staff room labda atakuwa ameniitia chai
Huyu mwalimu ana roho nzuri sio kama mwl Msigwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijui huwa hasauWakati unajiandikia hilo li username ulijua unamkomoa nani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*hivi hakuna hata nyumba moja kati ya zile zilizobomolewa zilizojengwa kwa NYATI CEMENT?* matangazo mengine banaa
Uchochezi kama huu lazima nifukue makaburi yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ni ngumu ni kavu inapoingia ni tamu sana ikiwa ndani haswaaa inapozungushwa na kupelekwa kila kona!!
Ikitoka huwa imelowa tena imelegea na kuisha ugumu kabisa[emoji12]
Hayo ndiyo maajabu ya BIGIJII[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukome kuwaza ujinga sheeenz
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi ni nani alileta Make Up?
Maana ndiyo aliyeleta mademu matapeli huku nchini
Unakuta Msichana kapost picha anafanana na RIHANNA ila ukikutana naye live anafanana na DROGBA[emoji3] [emoji3] [emoji3]
jakitoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenifurahisha wewe eti drogba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]jakitoo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umenifurahisha wewe eti drogba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa kweliHivi ushawahi fahamu kuwa,
Mtu pekee anaeweza kukuchagulia nguo za kuvaa mbali na mkeo ni tanesco...
[emoji16] [emoji16] [emoji16]MIUJIZA NI NINI.?? miujiza ni hali ya msukuma kutumia dk 2 kwenye kuoga.
NA kutumia dk 30 kusugua yeboyebo