Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kuna demu kaweka status yake kuwa "wanaume wote mbuzi" nikamuuliza; "Wewe Baba yako umemkatia majani?"
Sasa hivi nikimtumia msg hazipokelewi nahisi kazima simu kwanza anaenda kumkatia majani!
Hapo ngoma 1-1
 
Mwalimu kaniulizaa kama mtoto mdogo anaitwa mchanga... Je mtu mkubwa anaitwaje? ... Nikamjibu anaitwa kokoto..... Ameniitaa staff room labda atakuwa ameniitia chai

Huyu mwalimu ana roho nzuri sio kama mwl Msigwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji2]
 
Ni ngumu ni kavu inapoingia ni tamu sana ikiwa ndani haswaaa inapozungushwa na kupelekwa kila kona!!
Ikitoka huwa imelowa tena imelegea na kuisha ugumu kabisa[emoji12]
Hayo ndiyo maajabu ya BIGIJII[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukome kuwaza ujinga sheeenz
Uchochezi kama huu lazima nifukue makaburi yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Uchochezi kama huu lazima nifukue makaburi yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ya kwangu siyo sawa na ya bosslady...[emoji23] [emoji23]
 
Hivi ni nani alileta Make Up?

Maana ndiyo aliyeleta mademu matapeli huku nchini

Unakuta Msichana kapost picha anafanana na RIHANNA ila ukikutana naye live anafanana na DROGBA[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
jakitoo
 
Back
Top Bottom