stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,479
Wamechuniana kisa nini?Mexico pana kabila wamepukutika wote na kubaki watu wawili tu duniani wanaoweza kuwasiliana sasa tabu imekuja wamechuniana mwezi wa sita huu hawaongei juhudi za kutafuta msuluhishi bado zinaendelea.
Mambo ya binadamu si wajua tena ndugu yangu walitibuana basi kila mmoja akaamua kufanya yake.Wamechuniana kisa nini?
hao wasimamizi, mitihani yao na serikali yao ni machoko tuStress ni nini!?
Stress ni pale unapofanya mtihani kisha msimamizi akakaa mbele yako akisoma unavyojibu kisha akapayuka"Someni maswali vizuri kabla ya kujibu"
Eenh????? Mmh???hao wasimamizi, mitihani yao na serikali yao ni machoko tu
Tulitarajia kutakuwa na kutakuwa na cleck kutokana na utalamu wetu, Ila haina shida yoyote.hiyo lugha ya emoji nimeipenda [emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]
*KUPATIKANA NI NINI*Nzuri, asante
Wachukue tu, mi nshachoka kila siku tamu moja tu..Ukimwacha tu bachela mmoja anamvuta na kujimilikisha!
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Wachukue tu, mi nshachoka kila siku tamu moja tu..
Nimeelewa hairuhusiwi kukojoa hapo! Sasa vp kuhusu huo mkasi na mayai?
Ukikojoa hapo wanakata hayo mayai (pu...mbuNimeelewa hairuhusiwi kukojoa hapo! Sasa vp kuhusu huo mkasi na mayai?
Akili zangu zilishaenda kwa NgweaNimeelewa hairuhusiwi kukojoa hapo! Sasa vp kuhusu huo mkasi na mayai?
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Nimeelewa hairuhusiwi kukojoa hapo! Sasa vp kuhusu huo mkasi na mayai?