stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,479
Wamechuniana kisa nini?Mexico pana kabila wamepukutika wote na kubaki watu wawili tu duniani wanaoweza kuwasiliana sasa tabu imekuja wamechuniana mwezi wa sita huu hawaongei juhudi za kutafuta msuluhishi bado zinaendelea.