🙂🙂🙂l ya UDSM imeamua kubomoka yenyewe kuunga mkono zoezi la ubomoaji jengo la tanesco ubungo 😀😀😀😀
Mmh hizi lawama nyingine[emoji124] [emoji3]Leo jamaa yangu analalamika BIASHARA YAKE YA MAJENEZA IMEKUA NGUMU HAASA WATU HAWAFI
ATALIPAJE KODI YA GETO LAKE[emoji3]
Halafu ati anamalizia kwa kusema VYUMA VIMEKAZA[emoji3]
nakuilaumu serikal ya awam ya 5[emoji3][emoji3]
Yah pia nani aliwaambia waafrika kitanda lazima kiwekwe ukutani??But nani aliambia waafrika ukitaka kuosha viombo unaanza na vikombe then sahani then unamalizia na sufuria but why?
Yah pia nani aliwaambia waafrika kitanda lazima kiwekwe ukutani??
Huyi mtu akikamatwa afungwe yaan vyombo vizuri vizuri vyote vya wageni pekee
Ajitekenye utachekaKwa hiyo tukusaidieje?
una akili mbovu sana, 😡😡😡😡Kilo ya Mbaazi sh 300
Kilo ya chupa za plastik sh 300
Chagua mwenyewe ukalime mbaazi au ukaokote makopo[emoji3]
una akili mbovu sana, 😡😡😡😡
Nilikutana na demu Nywele Zake za njano nyusi nyeusi lips za blue makucha ya kijani kavaa hereni nyekundu
Ikabidi nijiulize “HUYU NI DEMU AU UPINDE WA MVUA”??[emoji3]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Jana Nilikuja Kwenu Usiku Ile Nataka Kugonga Mlango Tu Nikasikia Unaulizwa Na Majambaz 'TUKUUE AU TUKUFIRE' Sikusubiri Jibu Lako Na Leo Naona Unasoma Post Hii Kumbe Uko Hai Ulichagua Uamuz Mzur Sana WANGEKUUA Wanaharam Wale Makalio Kitu Gan Bwana .....Ah Ata Kuku Anao... Bora Ulivyowapa
Duu Leo Nimekuweza ......
Eee kwel nalo nenoKama Baba yangu hana furaha mim kuishi katika nyumba yake
Basi ondoke anipshe akaishi kwa baba yake
mimi naishi kwenye nyumba ya baba yangu maamaee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]