Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Acha utapeli tokea lini umekuwa mkunga..[emoji23][emoji23]
 
Habari Ndugu

siku ya mkesha wa mwaka mpya kutakuwa na sherehe ndogo nyumbani kwetu ya kukaribisha mwaka mpya kama utakuwa na muda na wewe fanya yako nyumbani kwako na familia yako

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Darasani... madenge kachelewa shule
Mwalimu: Mbona umechelewa sana leo shuleni?
Madenge: Jirani yetu alidondosh shilingi 2000.
Mwalimu: Wow! wewe ni mtoto mzuri kwa hiyo ulikuwa unamsaidia kutafuta.
Madenge: Hapana, nilikuwa nimeikanyaga kwa hiyo nikasubiri mpaka alipoondoka ndo nikaichukua...
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha utapeli tokea lini umekuwa mkunga..[emoji23][emoji23]
Mie si mkunga wala changu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
[emoji1] goes skkraaa pa, jus ki bi ki papa[emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mwalimu: Alex, simba akianza kukufukuza utafanya nini?
Alex: nitapanda juu ya mti.
Mwalimu: je na simba nae akipanda juu ya mti?
Alex: nitakimbilia mtoni niogelee.
Mwalimu: je simba nae akikufuata mtoni?
Alex: mwalimu uko upande wangu au wa simba? Maana sikuelewi kabisa, kila ninavyojaribu kumkwepa simba we unamwelekeza niliko, kama hunipendi sema tu.
 
Kuna mdada nilimuahidi ndoa mwakani eti ndio kanipigia simu hapa, [emoji38] [emoji38]anaulizia kama ndoa ipo [emoji38] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Nimemjibu asubiri, mwakani bado haijafika[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…