Eck fulani
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 458
- 597
hahahah[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
*MUME*..... *Mke wangu chukua simu yangu wapigie hospital waambie tuna shida na gari ya ambulance najisikia vibaya sana*
*MKE*...... *Okay nitajie password yako*
*MME*....... *Au basi acha tu kila nafsi itaonja umauti*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]��������
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ulivuta changaeeHappy Birthday kwa kila mmoja humu ndani tarehe yake ikifika... Tunaokoa muda, huu mwaka sio wa kuendekeza haya mambo!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] ulivuta changaee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
*MUME*..... *Mke wangu chukua simu yangu wapigie hospital waambie tuna shida na gari ya ambulance najisikia vibaya sana*
*MKE*...... *Okay nitajie password yako*
*MME*....... *Au basi acha tu kila nafsi itaonja umauti*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]��������
Hats mm naona[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akili yangu naielewa mwenyewe
We c uanzie hapo kwa kochi kwan lazma ktndanNyie wanawake mkiwatembelea mabwana zenu acheni kukaa kama mpo hospital mnasubiri Nesi aseme
My sister Nenda moja kwa moja kitandani fanya kile kilichokupeleka na usiigize kama ndo mara yako ya kwanza!
Mnatupa wakati mgumu sana kuwatoa kwenye sofa kuja kitandani mjue.
Nimewakilisha wanaume wengi!!!!!!
NoExcuses
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dadekJapan Airport wameweka kioo kubwa ukisimama mbele yake inataja jina lako na nchi unayo elekea.
Mpemba mmoja alisimama mbele ya kioo akaambiwa jina lake ni Awadhi Mkufu Mbaruku na ndege yake yaelekea Zanzibar.
Awadhi alishangaa na kioo na akataka kuhakikisha kuwa ni kweli. Akaenda kuvua koti akavaa kanzu, kofia na miwani. Akarudi tena mbele ya kioo na akaambiwa tena kuwa jina lake ni Awadhi Mkufu Mbaruku na ndege yake yaelekea Zanzibar.
Awadhi akaenda tena kuvua kanzu zawadi alizokuwa amemnunulia mkewe. Akavaa night dress, akatia rangi ya mdomo na akatafuna ubani na kulegeze mwili. Akarudi tena kwenye hicho kioo na akaambiwa
"Jina lako Awadhi Mkufu Mbaruku na ndege yako ishakuacha kwa ukhanithi wako!"
[emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]*USICHEZE NA WAHAYA KABISA*
KUNA MUHAYA ALISIMAMISHWA NA TRAFIKI:
*MHAYA:* UNASEMAJE BWANA MDOGO??”
*TRAFIKI:* KWA NINI UNAENDESHA GARI UKIWA HUJAFUNGA MKANDA?
*MHAYA:* USISEME GARI, SEMA RANGE ROVER.
*TRAFIKI:* SAWA KWA NINI UNAENDESHA HII RANGE ROVER BILA KUFUNGA MKANDA?
*MHAYA:* USISEME RANGE ROVER TU; SEMA RANGE ROVER YA MWAKA 2017.
*MHAYA:* HII NI NEW MODEL YA KISASA KABISA, MKANDA WAKE NI WIRE LESS HUWEZI KUUONA.
*TRAFIKI:* SAFARI NJEMA KIONGOZI!
Chezea Wahaya wewe!