Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]

*MUME*..... *Mke wangu chukua simu yangu wapigie hospital waambie tuna shida na gari ya ambulance najisikia vibaya sana*

*MKE*...... *Okay nitajie password yako*

*MME*....... *Au basi acha tu kila nafsi itaonja umauti*

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]��������
hahahah
 
65620bcd9236d20c2bba4a928329b8ae.jpg
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]

*MUME*..... *Mke wangu chukua simu yangu wapigie hospital waambie tuna shida na gari ya ambulance najisikia vibaya sana*

*MKE*...... *Okay nitajie password yako*

*MME*....... *Au basi acha tu kila nafsi itaonja umauti*

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]��������
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pumbafu kabisaa yani hawa watu hawanijui hawa. Ntawapiga risasi wote.
 
Jana wakati nasafiri nimefika sehemu nikanunua chocolate wakati nakula mzee aliyekaa jirani yangu akaniambia kijana chocolate zinaharibu meno. Nikamwambia Babu yangu alikufa ana miaka 108.
Akauliza alikuwa anakula chocolate nikamjibu alikuwa hafatilii maisha ya watu. Sasa naona mzee amehama siti nadhani anataka shuka!.
 
Nyie wanawake mkiwatembelea mabwana zenu acheni kukaa kama mpo hospital mnasubiri Nesi aseme

My sister Nenda moja kwa moja kitandani fanya kile kilichokupeleka na usiigize kama ndo mara yako ya kwanza!

Mnatupa wakati mgumu sana kuwatoa kwenye sofa kuja kitandani mjue.

Nimewakilisha wanaume wengi!!!!!!

NoExcuses
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We c uanzie hapo kwa kochi kwan lazma ktndan
 
NIMEAMKA zangu asubuhi nikaanza kukimbia kwa ajili ya mazoezi ghafla nikakumbuka MATHAYO 2:4 WAOVU WATAKIMBIA WAO WENYEWE BILA KUKIMBIZWA ikabidi niache nirudi kuangalia movie sipendi kubishia maandiko matakatifu[emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]
 
Japan Airport wameweka kioo kubwa ukisimama mbele yake inataja jina lako na nchi unayo elekea.
Mpemba mmoja alisimama mbele ya kioo akaambiwa jina lake ni Awadhi Mkufu Mbaruku na ndege yake yaelekea Zanzibar.
Awadhi alishangaa na kioo na akataka kuhakikisha kuwa ni kweli. Akaenda kuvua koti akavaa kanzu, kofia na miwani. Akarudi tena mbele ya kioo na akaambiwa tena kuwa jina lake ni Awadhi Mkufu Mbaruku na ndege yake yaelekea Zanzibar.
Awadhi akaenda tena kuvua kanzu zawadi alizokuwa amemnunulia mkewe. Akavaa night dress, akatia rangi ya mdomo na akatafuna ubani na kulegeze mwili. Akarudi tena kwenye hicho kioo na akaambiwa
"Jina lako Awadhi Mkufu Mbaruku na ndege yako ishakuacha kwa ukhanithi wako!"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dadek
 
*USICHEZE NA WAHAYA KABISA*

KUNA MUHAYA ALISIMAMISHWA NA TRAFIKI:

*MHAYA:* UNASEMAJE BWANA MDOGO??”

*TRAFIKI:* KWA NINI UNAENDESHA GARI UKIWA HUJAFUNGA MKANDA?

*MHAYA:* USISEME GARI, SEMA RANGE ROVER.

*TRAFIKI:* SAWA KWA NINI UNAENDESHA HII RANGE ROVER BILA KUFUNGA MKANDA?

*MHAYA:* USISEME RANGE ROVER TU; SEMA RANGE ROVER YA MWAKA 2017.

*MHAYA:* HII NI NEW MODEL YA KISASA KABISA, MKANDA WAKE NI WIRE LESS HUWEZI KUUONA.

*TRAFIKI:* SAFARI NJEMA KIONGOZI!

Chezea Wahaya wewe!
263a.png
[emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Za saa hizi!
Nimesikia jamiiforums wamebadilisha muonekano wake na ili tufaidi lazima tupakue app!sasa hapo kwenye kupakua app nimeachwa njiapanda...naombeni msaada nafanyeje kwa simu yangu?
.
sifa za simu yangu
Aina:TECNO T 453
Bei;35k
inaweka line 3
 
Yan vidada vya sikuizi kwa kudeka!! Naimagine ingekua ndo Musa aliambiwa avuke bahari ya sham na vidada vya type hii lazma tu vingemchelewesha
Vikianza kupiga Selfie zao utasikia "chilling with Musa" "in the middle of the sea* [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom