Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

QUESTION

If Bournemouth beat Chelsea 3-0 and Watford beat Chelsea 4-1, Assuming momentum before collision = momentum after collision and forces applied to a rigid body all act in the same plane, calculate the number of goals Barcelona will score against Chelsea. (Take g=9.8m/s2)

SOLUTION

Given that g= 9.8m/s^2...{ let Chelsea be denoted as C, Bournemouth be denoted as B, and Watford is denoted by W}

3B+ 0C = 3......Eqn 1

4W + (-1) = 3...Eqn 2

The cumulative goal conceded is {3+3 =6}

Let cumulative be denoted as "a"
Therefore, if Barca denoted as Br

Squad strength of barca = a+1
Messi probability to score = a+1+1

Chelsea being a team of dog turds = a+1+1+1

Note a=6

Therefore, a+3 =6+3=9

9 goals.

[emoji474]‍♂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo kuna mdogo wangu nimemtumia meseji nimemuomba aniazime chaja yake ya simu. Akanijibu 21002 Nikawa mkali nikamuambia kuchajia mara moja tu ndio HELA yote hio si bora nikanunue Chaja yangu mpya. Akaniambia nimesema TUMIA TU [emoji23][emoji23]
Du..[emoji23] [emoji23]
 
Jamani maisha ni kusaidiana, nimenunua bando la 2000 GB 2, sasa wakati naanza kuingia humu jukwaani nikakumbuka sijanunua mboga, na pesa ndiyo hivyo sina tena...
Wakuu mwenye moyo wa huruma anisaidie maana leo huu ugali utanikaba wakuu..[emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
[emoji34] [emoji12] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji24] [emoji24]
 
Suruali za kubana sana wakati mwingine nazo siyo nzuri, unafika nyumbani unavua suruali unasikia harufu mbaya unabaki unajiuliza harufu inatokea wapi?!! Kumbe ulijamba mchana lakini ushuzi haukutoka[emoji16][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji767]NDOA HIZI WE ACHA TU
Mwanaume Mmojaa alikuwa anamlazimisha mkewe kufanya mapenzi gizani kwa muda wa miaka kumi,ndipo siku moja mwanamke uzalendo ukamshinda na kuamua kuwasha taa ila ghafla alipigwa na bumbuwazi baada ya kuona kuwa kumbe mumewe ana uume wa bandia!
Mwanamke alihamaki na kumwambia mume wake haya naomba maelezo haraka kabla sijakinukisha kwa majirani na marafiki zako?
Mwanaume akajibu Mimi ndio naomba maelezo makubwa mno,nataka uniambie hawa watoto wetu watatu wamepatikana vipi?
USICHEKE INATAKIWA TUJIFUNZE KITU HAPO KUPITIA SIMULIZI HIYO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wachezaji wa yanga wakijikusanya eneo moja pembeni kwenye kona ya uwanja na jezi zao unaweza kudhani ni bustani ya matembele[emoji6][emoji6][emoji23][emoji23]
 
Waziri anaposema oa mwenye cheti cha form four anamaana yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mume akamwambia mke wake:
"Funga macho yako tufanye maombi"
Akaanza kwa Kimombo:-
*"… Lord I pray for Grace, I pray for Mercy, I pray for Joy, I pray for Love, I pray for Hope, I pray for Glory, I pray for Faith, I pray for.."*

Mke akadakia, "Unadhani mimi sina ee" akaanza:-
*I pray for Felix, I pray for Temu, I pray for Rweyemamu, I pray for Masawe, I pray for Benson, I pray for Onyango, I pray for Swai, I pray kwa wote niliowasahau!!*
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
WATU WOTE HUMU JF HASA JUKWAA HILI

WOTE WAPUMBAVU HADI MODS!



IVI MTU AKITOKEA AKISEMA IVYO TUTAMFANYAJE?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahahahhahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…