Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Ilikuwa kuna mechi ya Azam na Simba, Muhindi na Mswahili maeneo ya kariakoo waliwekeana dau[emoji13] [emoji13]
Muhindi mshabiki wa Azam na mswahili mshabiki wa Simba

Muhindi: Veve swahili kama Simba iko shinda kundu kwa kundu
Mswahili: Poa na wewe kama Azam itashinda nakupa ***ndu[emoji38] [emoji38]
Sasa unaambiwa si Simba ikashinda[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] unaambiwa kila muhindi akiambiwa toa kundu, anasema tuliwekeana kundu kwa kundu sio kundu kwa b0.o[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Best wahenga awafai kuna mmoja aligeza chupi nyuma akaweka mbele ,mbooo ilisimama kuanzia asubui mpaka jioni ndipo alipopata jibu wakati anaoga
 
Huku mitaani kwetu kuna mwanamke amemwekea mme wake dawa ili ampende, bahati mbaya panya wamekula chakula chote. Sahz panya wanamfata mwanamke kila aendako huku wakitabasam..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
a368f14163812bb32b00208d519aa045.jpg
 
[emoji445] ARSENAL: Subalkheri mpeenziii.. waonaje haali yaakoo.... [emoji445]

[emoji446]

[emoji445] MAN U: Sabahanuri laaziiziiii.. hali yangu kama yaakoo.... [emoji445]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] fala wee
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] fala wee
Kwa lugha ya kwetu fala=mkulima[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] So hujakosea sana [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
[emoji445] ARSENAL: Subalkheri mpeenziii.. waonaje haali yaakoo.... [emoji445]

[emoji446]

[emoji445] MAN U: Sabahanuri laaziiziiii.. hali yangu kama yaakoo.... [emoji445]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
*****! Noma sana
 
MDADA akiwa na MIMBA ya miezi mitatu au minne avae dela jeupe halafu awe kanyoa afro. kwa mbali unaweza sema nabii Tito[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
*WAZO LA JANA*
Hata uwe na haraka gani,tako lazma libakie nyuma.

*WAZO LA LEO*
Hata uwe na tamaa vipi huwezi kutamani kifo.☠

*WAZO LA KESHO*
Mwanaume hata awe na huruma vipi, hawezi kumsaidia mwanamke kubeba mimba.

*WAZO LA KESHO KUTWA*
Urefu na ufupi ni majaliwa ya muumba lakini vitambi na mimba ni juhudi zetu wenyewe.

*WAZO LA MWAKA HUU*
Bila pesa Wanawake wazuri utabaki kuwaita shemeji
 
Nimepata wageni bila kujiandaa, Mara mke wangu akahamaki, baba J, nitawezaje kuserve chai isyo na sukari mbele ya marafiki zako maana hata ile ya mtoto haiwez kuwatosha wote.
Nimefikiria kidogo halaf nikamwambia' Leta chai isyo na sukari kwa wote
Ilipofika ilibidi mke atimke zake kwa aibu, sasa kabla ya kuruhusu chai inywewe nmewaambia Jamani karibuni lkn nataka tupge game kidogo...kikombe kimoja hakina sukari so atakae kipata atatupeleka lunch sote hapa. Walipokuwa wanakunywa kila mtu akawa anadai chai yake ina sukar ya kutosha na kwanza imezidi......
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kumaliza January inahitaji akili ya ziada
Nmecheka mbk machoz yametoka yakutosha kulalek
 
Back
Top Bottom