Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Shetani ANAWEZA KUNIPITIA
 

Attachments

  • IMG_20180212_211823_723.jpg
    IMG_20180212_211823_723.jpg
    45.3 KB · Views: 168
MDADA akiwa na MIMBA ya miezi mitatu au minne avae dela jeupe halafu awe kanyoa afro. kwa mbali unaweza sema nabii Tito[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
We jamaa bangi zitakupeleka mbali
 
Nipo kwenye kibao cha matangazo ya mechi za Leo.

Kibao kimeandikwa
SIMBA vs MAJIMAJI

Halafu nimemkuta Mzungu na yeye anasoma tangano.

Ili kumuonyesha Mzungu kuwa hata Mimi Ki-ingilishi nakijua nimemuuliza,

"DO YOU LIKE LION or WATER WATER"

Naona Mzungu anatabasabu. Nadhani atakuwa amenielewa vizuri.
 
*WAZO LA JANA*
Hata uwe na haraka gani,tako lazma libakie nyuma.

*WAZO LA LEO*
Hata uwe na tamaa vipi huwezi kutamani kifo.☠

*WAZO LA KESHO*
Mwanaume hata awe na huruma vipi, hawezi kumsaidia mwanamke kubeba mimba.

*WAZO LA KESHO KUTWA*
Urefu na ufupi ni majaliwa ya muumba lakini vitambi na mimba ni juhudi zetu wenyewe.

*WAZO LA MWAKA HUU*
Bila pesa Wanawake wazuri utabaki kuwaita shemeji
sawa shemeji
 
4e076610f6f1f0ee4e3cc191edc765e7.jpg
[emoji115] [emoji115] Huyu mdada kutokana na nguo alizovaa na viatu, laiti kama akiinama chini kutumia mikono na miguu, unaweza kusema mbuzi mweusi amenenepa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
*Baada ya kwich kwich:*

*John* : Ahsante mpenzi nimefurahi sana.

*Marry* : Me pia nimefurahi..lakini kwa nini hukuniambia kuwa una gitaa ndogo!!

*John* : Sikukwambia kwa sababu sikujua kama ninge perform kwenye ukumbi mkubwa
[emoji3][emoji3]
 
Nimepata wageni bila kujiandaa, Mara mke wangu akahamaki, baba J, nitawezaje kuserve chai isyo na sukari mbele ya marafiki zako maana hata ile ya mtoto haiwez kuwatosha wote.
Nimefikiria kidogo halaf nikamwambia' Leta chai isyo na sukari kwa wote
Ilipofika ilibidi mke atimke zake kwa aibu, sasa kabla ya kuruhusu chai inywewe nmewaambia Jamani karibuni lkn nataka tupge game kidogo...kikombe kimoja hakina sukari so atakae kipata atatupeleka lunch sote hapa. Walipokuwa wanakunywa kila mtu akawa anadai chai yake ina sukar ya kutosha na kwanza imezidi......
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kumaliza January inahitaji akili ya ziada
Umejua kunichekesha
 
Wakati natoka Ijumaa, kufika home nikamuuliza mke wangu umeniombea dua gani leo, akajibu "Nimekuombea dua utembelee matako" nikampa kelb mixer vitasa vya maana hadi kupasuka mdomo, eti sahivi ndio ameniambia kuwa aliniombea nipate hela ninunue gari. Dah! Si angeongea hivyo tu![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
UTAFITI
Kwa mujiub wa utatiif liuofanywa na Prfosa. wa chou kiuuk cha Dodoam, haukna haaj ya kuwa na mpaiinglo kweney heruif katiak maneon. Cha mhuimu ni kuaw na mpaiinglo kweney ehrufi za mwazno au miwsho tu, zinazobaik zinaweaz kuchagnanyaw tu na zkaieleweka bila taub. Hii ni kwa sabaub ubogno wa mwanadaum huaw hausoim kila heruif, bali husoam maneon kwa ujmlau wake. Si umeona umeweza kusoma na kuelewa vizuri utafiti wa chuo chetu! [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Back
Top Bottom