Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa bangi zitakupeleka mbaliMDADA akiwa na MIMBA ya miezi mitatu au minne avae dela jeupe halafu awe kanyoa afro. kwa mbali unaweza sema nabii Tito[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
sawa shemeji*WAZO LA JANA*
Hata uwe na haraka gani,tako lazma libakie nyuma.
*WAZO LA LEO*
Hata uwe na tamaa vipi huwezi kutamani kifo.☠
*WAZO LA KESHO*
Mwanaume hata awe na huruma vipi, hawezi kumsaidia mwanamke kubeba mimba.
*WAZO LA KESHO KUTWA*
Urefu na ufupi ni majaliwa ya muumba lakini vitambi na mimba ni juhudi zetu wenyewe.
*WAZO LA MWAKA HUU*
Bila pesa Wanawake wazuri utabaki kuwaita shemeji
jirani huachi jukwaa..i always wonder why you men say that ladies wanapenda pesa....KWANI JUDAS ALIKUA MWANAMKE????
Na hata busu sio ishara ya upendo huyo yuda alifanya yake.i always wonder why you men say that ladies wanapenda pesa....KWANI JUDAS ALIKUA MWANAMKE????
Umejua kunichekeshaNimepata wageni bila kujiandaa, Mara mke wangu akahamaki, baba J, nitawezaje kuserve chai isyo na sukari mbele ya marafiki zako maana hata ile ya mtoto haiwez kuwatosha wote.
Nimefikiria kidogo halaf nikamwambia' Leta chai isyo na sukari kwa wote
Ilipofika ilibidi mke atimke zake kwa aibu, sasa kabla ya kuruhusu chai inywewe nmewaambia Jamani karibuni lkn nataka tupge game kidogo...kikombe kimoja hakina sukari so atakae kipata atatupeleka lunch sote hapa. Walipokuwa wanakunywa kila mtu akawa anadai chai yake ina sukar ya kutosha na kwanza imezidi......
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kumaliza January inahitaji akili ya ziada
[emoji23] [emoji1] [emoji3] Atatuletea Majibu Baadae..Hahahahaha[emoji23][emoji23]