Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Jaman wengine tukicheka sana tunaumwa punguzeniii
Na mbado...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
USHEHE NAO SHIDA
kuna huyo shehe alikuwa ana takiwa kuswalisha ijumaa moja moshi,wakti akiwa anaoga akasikia ADHAANA hivyo akatoka harakaharaka bafuni na kwa ajili ya haraka akajisahau hivyo badala ya kuchukua kanzu akachukua dira la mke wake,pia badala ya kuchukua barakashe akavaa chupi ya mke wake,akatoka haraka akachukua baskel tayari kwa kwenda msikitin,alipokuwa njian akaona kama lile dira kama linamzuia kuendesha akaamua akunje lile dira,alipokunja matako yako waz akiwa anaendesha watu wakamuliza,
WATU:"SHEHE NI NINI HIYO?"
SHEHE:"MASTAILI!!!"
hatareee!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
MKE-hili jiji letu siku hizi
linawasichana wazur jaman
MME-wabaya watoke wapi wakati tulishawaoa

Mke naona amebeba furushi nadhani atakua ameenda kufua[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Stress zimerudi baada ya kumaliza kusoma japo mbavu hoi, machozi mashavuni na taya zauma kwa kujizuia kucheka kwa sauti
Rudia tena kusoma stress zitaisha tu!..
Jumlisha na hii hapa!
=====================================
Nimejaribu kunywa viroba ili nione kwanini vinapigwa marufuku, saa hii kila nikitaka kusimama naanguka.. Nahisi kutakua na tetemeko la ardhi..![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
πŸ™ πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ acheni ujinga...tunaumizana mbavu
 
Kuna jamaa nimemsikia kwny redio anasema amefanya kazi kwa miaka 10 lkn hajaona matunda

Nimewachukua rafiki zangu ndio tupo njiani tumebeba Maembe na Machungwa tunampelekea ayaone halafu narudi nayo

Mimi huwa nna huruma sana
 
Usha wahi kutemwa na demu
Mkali hadi ukajikuta umeishiwa nguvu ukashindwa
Umuambie nini ndio akuelewe mara ghafla uka
Jikuta ume ropoka
"Baby I am pregnant " [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…