Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

When you start to realize people have moved on without you. Accept it and move on. Don't go to social media and become a poet[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nani kasema kiswahili ni rahisi??? Hebu jaza nafasi zilizoachwa wazi kwa kutumia NDIO au HAPANA;
1)……………, mimi ni chizi
2)……………, mimi ni bwege
3)……………, mimi sina akili
NDIO au HAPANA wakati mwingine inatumiwa KWELI au SI KWELI hivo naomba kujibu maswali hayo
1. SI KWELI
2. SI KWELI
3. SI KWELI
[emoji23] [emoji23]
 
Cajojo.jpg
Kai Greene
 
Leo nimeenda kuchangia damu hospitalini,mara wananambia soda na biskuti zimeisha..!
Sa hii nipo zangu njiani na damu yangu kwenye blood bag naelekea nyumbani. Bora niwapelekee mbu take away..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

wala sijawahi vutaga bangi Mimi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Basi utaondoka na stress..!

Stress ni nini??
Stress ni pale umeenda kijijini kwa bibi ako huku umebeba jeans zako tano zile ja mtindo wa kuchanika (chanika jeans) sasa siku ukazifua ukazianika ukaenda zako kutembea ile unarudi jioni unakuta bibi yako kazianua afu kazishona zote!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Future [emoji289]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] bibi hapendi ujinga.
 
Hujapotea kwani wewe huna stress..?
------------------------------
nimemtembelea,rafiki yangu mida ya saa saba hivi na tayari alikuwa amesonga ugali nikamtuma nje wakati anatoka nje nikaongeza maji kwenye sufuria kumbe sikujuwa alipima maji kulingana na unga uliobaki sasa hivi tunakunywa uji hatuongeleshani .
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
kumbe_wote_hatupendangi_ujinga!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] aseee!!
 
A guy and his wife are sitting and watching a boxing match on television. The husband sighs and complains, “This is disappointing. It only lasted for 30 seconds!” “Good,” replied his wife. “Now you know how I always feel.”[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimetoka zangu kazin nikiwa na stress za mishahara, basi nikafika stendi ya mabasi wapiga debe wakaanza kunisumbua kuniuliza unaenda wapi nikajibu ZANZIBAR

nimewaacha wakitaja sehemu za siri za binadamu ila nahisi itakuwa wanajikumbushia biology.

leo sijavuta isipokuwa ni uchovu na mei mosi ya huko IRINGA
 
Huku mtaani kwetu kuna mwanamke amemwekea mme wake dawa ili ampende. bahati mbaya panya wakala chakula chote.

savi panya wanamfuata mwanamke kila aendako huku wakitabasamu.
 
Back
Top Bottom