Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Mmmmhhh
 
Wanawake Ushaingia Kwenye Saloon Kusuka,Wanawake Umbea ukanoga Ndani ikafika hatua umemalizwa Kusukwa Ukaogopa Kutika Maana Wanaweza Kuanza Kukuzungumzia Ww?
 
Angalia hawa kina mama, ni shida..!

Mama mdaku alishangaa kila siku anamuona Padri anaingia nyumba ya jirani yake ambaye hana mume, akawa anajiuliza anakwenda kufanya nini?

Ukimya ukamshinda akamuuliza "Mwenzangu, mbona kila siku namuona Padri anakuja kwako, vipi anakuja kukuombea?"
Jirani akamjibu:
"Nyoo, umbea tu!
Mbona kwako kila siku anakuja mwanajeshi kuna vita!
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nimeamini kweli tunaisoma namba [emoji13] [emoji13] yaani mvua zote hizi hata wale Kumbi kumbi wamegoma kutoka [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Kwani wao hawaogopi vyuma vya jiwe?Usawa wenyewe wa mbuzi,mbele kamba nyuma bakora ukileta shobo unalika tu hata kwa chumvi dadeki!
 
Je una kitambi mbinuko?
Je una minyama uzembe ?
Je una weusi katikati ya mapja na ungependa kuuondoa kwa kutumia njia ya asili?
Je una magaga (magwambala )ambayo imekuwa iero kwako?
Je una ngozi yenye mafuta mengi?
Je una nywele kipilipili sugu?
Je una meno ya njano ambayo hayakubali aina yoyoteya dawa ya meno hata Mkaa ?
Je una michirizi ya unene?
Basi pole ndugu yangu maana mungu ndio kakuumba hivyo hamna namna.
 
Unlike
 
Ukisikia nimepatikana ndio huku
[emoji787] 01:43 time hii ndio natoka kumfanyia mtu kazi yake then funguo yangu nimesahau kwake[emoji13] [emoji13] [emoji13] walai nalala hapa nje kwangu SIPENDI UJINGA MIMI [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Aah wacha niseme tu huu upuuzi hauvumiliki nimeshindwa kabisa. Wanawake wetu hawa kitandani anakupa style zote kuanzia sakayonsa mara mbuzi kagoma kwenda ukigeuka kifo cha mende (juma na roza )mara kichuma mboga yaani mpaka nyingine anafanya kukukumbusha "baba flan mbona hii style hatujafanya siku nyingi au wadhani nimezeeka? Cha ajabu sasa simu umemnunulia weye ila password yake kukupa aaah najiuliza huo mwili anaonisabilia hauna thamani kuliko hicho kisimu ambacho hata wakoma wa natumia? Aaagh wacha niseme maana hamna namna.
 
Mambo ya Mabinti haya

Binti: Hallow mpenzi, Mambo

Jamaa: Poa baby

Binti:Uko wapi?

Jamaa: Niko town napata lunch

Binti: Wow unarudi saa ngap? Nina njaa dear naomba uniletee msosi

Jamaa: Narudi baada ya nusu saa nikuletee nini?

Binti: Niletee chipsi kuku, soseji, mayai manne ya kukaangwa pembeni, baga, piza, coke take away baridi, mkate wa moto kwenye ile bekari ya wapemba na maji ya kunywa ya kiimanjaro.

Jamaa:Umesahau viti, meza, masufuria, sahani na beseni na vijiko.[emoji16]

Binti: Kwanini dear?

Jamaa: Naona hutaki kula unataka kufungua hoteli[emoji34][emoji34]
 
Familia Iliyozoea matusi Ilienda kupeleka posa ya kijana wao , Kwenye Familiya Ya Wastarabu . Familiya Hiyo Wakakubaliana Wakifika Waache Ku2kana ,,, walipo fika walipewa chai bila kijiko. Kijana mwenye kuowa akaropoka wewe janeti unaniletea chai bila kijiko nitakoroga na mboo?.
Baba wa Kijana Nae Akamkoromea mwanaee kaa kimya hanisi mkubwa Wewe pua kama kisimi Cha Mama Yako ,,
Dada nae akadakia Acheni usenge Wenu Tumefuata Chai Hapa Au ****?
Mama Nae Akamalizia Walaih kwa matusi haya tukipewa Mke Nifireni Hapahapa Mpaka Mimba .
 
Ngoja leo niandike kwa kiingereza ule wimbo wa chuchu sound
"Kula nanasi kwahitaji nafasi mchuzi wa ndimu wanitia wazimu"
Eating pineaple needs space lime curry drive me crazy.
Tatizo kuimba kwa kiingereza sasa [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Wale wanaotaka kuagiza tende kwa ajili ya ramadhani inayoanza karibu waaagize sasa yanga wapo Uarabuni wanarudi kesho [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Baadhi ya nchi dunia katika vyoo vya umma kuna milango mitatu...wanaume, wanawake na mlango wa mashoga....angalie usije ukaingia choo cha mashoga dude!

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…