Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Atleast nimeingia butchery for the first time this month... Kuuliza kama mzee wa kunoa visu ameonekana eneo hilo[emoji23][emoji23]
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Huku mtaani kwetu kuna mwanamke amemwekea mme wake dawa ili ampende. bahati mbaya panya wakala chakula chote.
savi panya wanamfuata mwanamke kila aendako huku wakitabasamu.
Waje kwangu wanyonye ninalolakutosheleza wote"Kuna mbaba mmoja mtanashati.....akivaaga suruali zake huku mbele anakuwa katunaaaaaa, yaani natamani nimyonye tu." - Kuna wadada walikuwa wanasema haya juzi pale Break Point, Kinondoni.
Waje kwangu wanyonye ninalolakutosheleza wote
Nigaie tu emoji tuwili bas[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji119]
Numby wewe titakupiga mawe siee,shauri yakoTicha: nani kafunga?
Wanafunzi: Benzemaa
Ticha: aliye assist?
Wanafunzi: kipaaaaaa
Ticha: nani kafunga?
Wanafunzi: Baleeeee
Ticha: aliye assist?
Wanafunzi:kipaaaaa
Ticha:mani of the mechi?
Wanafunzi: Ramosiiiiiii
Ticha: mmetishaaa
Wanafunzi: kama kipaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Numby weweTicha: nani kafunga?
Wanafunzi: Benzemaa
Ticha: aliye assist?
Wanafunzi: kipaaaaaa
Ticha: nani kafunga?
Wanafunzi: Baleeeee
Ticha: aliye assist?
Wanafunzi:kipaaaaa
Ticha:mani of the mechi?
Wanafunzi: Ramosiiiiiii
Ticha: mmetishaaa
Wanafunzi: kama kipaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Numby wewe titakupiga mawe siee,shauri yako
Numby wewe
[emoji23] [emoji23]A nurse will meet you at the supermarket with your crush and be like "Hey kijana, ile kaswende iliisha??[emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]BAC MKUU WA MKOA WA MBEYA akawauliza mafarisayo na wananchi WA MBEYA "niwape SUGU au YANGA ambaye Hana HATIA..... (mkuu wa Mkoa alikuwa anataka kumtoa YANGA mikononi mwa wana MBEYA).... Wananchi WA MBEYA wakapaza Sauti zao...... tunamtaka SUGU, tupatie SUGU, Tupe SUGU, Msulubishe YANGA, Msulubishe.... Mkuuu wa mkoa akauliza je huyu asiyekuwa na HATIA (YANGA) asulubiweee na apigwe misumari bila kuwa na hatia?, wakasema asulubiweeeee, Bac MKuu wa mkoa akanawa mikono , kisha akasema dhambi iwe juu yenu, juu ya watoto wetu Bac MKUU WA Mkoa Akamfungulia SUGU na akamtwaaa YANGA na akawapatia wana PRISONS wamfanye watakalo. Basi wakamchukua wakamfanyia kila Dhihaka wakampigilia misumari 2 na kumtundika SOKOINE wakaweka na kibao juu ya msalaba huyu ndiye CHURA HALISI, basi Alikuwepo Akida mmoja anaye toka SIMBA kusema HAKIKA Huyu CHURA Alikuwa na HATIA.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]The only reason i wanted to be an adult was to have sex. These things of paying bills and waking up to go to work everyday was not part of the plan[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hiki kichekesho kimenichekesha zaidiUna umri gani?