Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Leo nikitoka church nilipanda kihiace na kulikuwa na mrembo mkali hujawahi kuona, kila kijana alikuwa akimtupia macho, so me nilikuwa na wepesi wa kuongea naye kirahisi coz nilikuwa kando yake,,, Sasa kama unavyojuwa wanaume kwa kujikosha Nikaimigine mtoto ananiangalia so nikaamuwa kupiga fake phone
"Hello Mr. Supervisor, nitachelewa kidogo coz kuna mahali nitapitia, so nipelekee tu hyo Ferrari yangu nyumbani"
Nikaona mrembo ameniangalia kwa macho ya husda apo nkajua nimeuwa ndege kwa jiwe moja, nkaamua kujikosha mtoto wa kiume , "niaje mrembo", akanikazia macho kisha akaniambia,
"Shika battery yako uliangusha ukitoa simu"

Icho kicheko watu walicheka hujawahi ona jooo adi ikabidi dereva aegeshe gari watu wacheke kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikaona isiwe tabu nikashukia pale pale.

Tujifunze kusema ukweli kwani uongo sio mzuri hata kwa Mungu... [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hii Dar noma kweli, kila binti unaekutana nae kwenye mitandao anakwambia ye single[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] mi ndio nipo namalizia album, maana singo nimezipanga nyingi sana[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ebwanee duuu, ni halali wa left c mchezo, umetisha mdau
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
nimeipenda sn, cnaga stree
 
Dada mmoja alikwenda kwenye duka la wanyama kununua kasuku.

mambo yakawa hivi:

*DADA:* Nimekuja kununua kasuku.
*MMILIKI:* Nina aina mbili ya kasuku aina ya kwanza anarudia kila kitu unachozungumza na aina ya pili anafikiria mwenyewe kisha anazungumza"
Je ww unamtaka yupi?

*DADA:* Nadhani namtaka anayefikiria mwenyewe.

(MMILIKI akamletea dada kasuku kulingana na alivochagua kisha akaambiwa amfanyie majaribio.)

*DADA:* Naonekanaje?
*KASUKU:* Unaonekana kama kahaba.
*DADA:* "...kwa hasira..." "Siwezi kununua kasuku kama huyu! Hana adabu!"

*MMILIKI:* Samahani dada naomba unisubili kidogo.....(akampeleka kasuku nyuma ya duka na kumzamisha kwenye ndoo ya maji kisha akamuonya, "kama ukirudia tena kumkosea adabu yule dada ntakuja nikuloweke kwenye maji siku nzima.

". MMILIKI aliporudi kaunta akamuomba dada amjaribishe kasuku kwa mara nyingine na akamsihi akisema ".kwa sasa unaweza kumuuliza chochote naamini atakujibu vizuri bila matatizo yoyote"

MAJIBIZANO YAKAWA KAMA HIVI:
*DADA:* Kama nikirudi nyumbani usiku wa manane na nikaja na mwanaume huyo mwanaume atakuwa ni nani?
*KASUKU:* Mume wako!
*DADA:* Vizuri! vipi kama nikija na wanaume wawili?
*KASUKU:* Mume wako & shemeji yako.
*DADA:* Vzuri! Vizuri sana" kama nikija na wanaume watatu je?
*KASUKU:* Atakuwa ni mume wako,shemeji yako na kaka yako!
*DADA:* Waooooooo!!! Vipi kama nikija nyumbani na wanaume wanne?
*KASUKU:* (Akageuka nyuma akamwangalia mmiliki wake ) . . . . kisha akasema *"Tafadhali kaniloweke kwenye maji, nilishasema mapema kwamba huyu mwanamke ni kahaba!!!*
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
*Mwanaume wa Arusha kakaa mahabusu miezi minne anatoka huku anacheka, mwanaume wa Dar kaambiwa aonyeshe vyeti tu analia. [Wanaume wa Dar Bwana].*


[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…