Stress ni nini
Stress ni pale upo kuelekea kazini kwa bahati mrembo anakuomba lift
na bahati mbaya hali yake inabadilika unamkimbiza hospital, baada ya muda doctor anatoka anakwambia hongera, unajiuliza hongera ya nini ana kwambia mkeo ana mimba una tahamaki na kumwambia doctor huyu sio mke wangu lakini kale kadada kwa sauti ya nyororo kanamwambia doctor ni mimba yake, unapanic doctor anakwambia hebu njoo nikupime baada ya mida doctor anatoka anakwambia ni kweli mimba sio yako unashusha pumzi lakini anakwambia nilivyokupima nimegundua huna uwezo wa kudharisha unapatwa na mshitiko na kupata na big stress na kufikiria kama sina uwezo wa kudharisha wale watoto watatu nilio nao ni wa nani.!!?