Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Wanafunzi walipanda kwenye ndege ,muda mfupi kabla ya kuruka wakatangaziwa kuwa ndege hii ni ya kwanza kutengenezwa na mainjinia wa Tanzania na hii ndio safari yake ya kwanza, wanafunzi wote wakashuka akabaki mmoja tu , alipoulizwa kwanini hakushuka " Akajibu kama imeundwa na wa Tanzania wala sina wasi wasi hata kuwaka haitawaka hii
Sependagi ujinga eti
 
Asante sana kwa kunipunguzia stress.
 
Ushawahi kuwa nyumbani na wazazi mnaangalia Movie halafu ghafla inatokea sex scene watu wanapigana mabusu wanarushana kitandani.. DINGI anapagawa ile kuua soo anakuulza "john ushapiga pasi GARI..!! Nawe ulivyojichanganya unajibu " umeme umekatika mzee''
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Kinoe vizuri kipaji chako dogo ii uandike kitabu kabisa.
Watu wasikukatishe tamaa.
Safii.
 
HUWA NASHANGAA SANA WANAWAKE
WANAO LIA WAKAT WANAVISHWA PETE
NA WANAUME ZAO SIKU YA HARUS,,,,!!!!
SASA MI NAULIZA
HIV ZILE PETE N MABOMU YA MACHOZ AU
NI KITUNGUU MAJ KIKAL!!!?
 
Usha wahi kutemwa na demu
Mkali hadi ukajikuta umeishiwa nguvu ukashindwa
Umuambie nini ndio akuelewe mara ghafla uka
Jikuta ume ropoka

"Baby I am pregnant " [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nauliza tu.!!!!!!![emoji102]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kina mama wengi ni waongo utawasikia eti mwanangu ndio kila kitu kwangu mara ooooh nampenda mwanangu kuliko chochote.
UKITAKA KUJUA KAMA KWELI MAMA ANAMPENDA MWANAWE KULIKO MUME WAKE ANGALIA KWENYE KUGAWA MBOGA ...[emoji134][emoji134]
[emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mama,baba na mtoto wamelala usiku mtoto akiwa kati!
ghafla mtoto akaanza kulia huku anamuamsha mama yake"mama nimeshika betri nataka betri"dingi likajibu we mtoto acha hiyo sio betri nyau weee
 
Jamaa kenda kwa Mwenyekiti wa serikali za mtaa,
JAMAA: Mke wangu hataki kunipa unyum ba hebu ongea nae kabla sijafanya kitu kibaya, nimekuja nae yuko hapo nje.
MJUMBE: Hebu muite, we kaa nje ya ofisi niweze kumsikiliza
JAMAA: Poa mkuu
MJUMBE: Haya mama kunani tena huko mzee unamnyima unyumba?
MKE: Asubuhi naondoka nyumbani sina senti tano nachukua kibajaji mpaka kazini nikimwambia dreva wa kibajaji sina hela, ananiuliza sasa utanilipa badae au? Mi nakubali au. Nakuwa hapo nimechelewa kazini, nikifika huko bosi anasema sasa umechelewa nikufukuze kazi au? Mi nachagua au, jioni narudi nyumbani tena mwenye kibajaji ananiuliza unalipa au? nakubali au, sasa nakuwa nimechoka mzee akitaka namnyima.
MJUMBE; Dah hiyo stori ya kusikitisha, sasa tumwambie mumeo au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…