[emoji23][emoji23][emoji23]Today I donated a watch, a phone and my wallet to a poor guy.You can't know the happiness I felt as I saw him put his knife back in his pocket. [emoji2][emoji1][emoji110][emoji110][emoji111][emoji111]
Umetisha sanaaa [emoji11] [emoji4] [emoji28]Jana nimepewa kazi ya kuandika DUKA LA DAWA MUHIMU sasa boos kaja kasema hanilipi nimeandika vibaya akaondoka sasa nimeamua kufuta MUHIMU nimeweka KULEVYA Niko home nasikia vin'gora bilashaka kuna mgonjwa ameletwa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hatariiii mwanaume[emoji23]YAAN WADADA WA SIKU HIZI BHANA, UNAKUTA YUKO BAFUNI ANAOGA ALAFU NYWELE KAZIACHA CHUMBANI..[emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji97]Kali kinoma hii!
===========================
Jana demu wangu kanipigia simu na kuniambia ameibiwa simu yake ya laki8.
nikamuuliza wapi kaniambia ameibiwa mjini nikampa pole alafu akainiambia nimpe laki4 na yeye analaki4 akanunue simu nyingine nikamwambia njoo geto uchukue. Mida ya saa 12:30 kashafika nikampa laki4 kaondoka kwenda kwao huku nyuma mm nikavaa mkoti mrefu na maski nikakimbia nikaenda kumsubiria mbele. Kaja kafika kwenye kona moja hivi nikaona hapahapa ndo pakumalizia mchezo fasta bila kupoteza mdu nika mpiga kabari ya maana na kuchukua laki8 yote nikatokomea zangu kufika geto2 akanipigia simu huku akiwa analia nikamuuliza kulikoni akaniambia amekabwa nakibaka na kunyang'anywa hela yote, nikamwambia arudi nije nipe nyingine akaja nikampa laki4 yake na mimi nikabakia na yakwangu halafu akaniomba nimsindikize hadi kwao anahofia kukabwa tena nikamwambia alale ataenda kesho.
maswala yakurudisha maendeleo nyuma sipendg laki8 yote ununulie simu wakati mm mwenye simu ya laki1 yenyewe sijawahi kununua
sipendagi ujinga mimi[emoji35][emoji35][emoji35][emoji379][emoji378]
Ha ha ha ha ha ha
[emoji23]Bangi acha ipigwe marufuku...!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa walikuwa wamekaa jumba bovu wanavuta bangi wakaishiwa kiberiti,
Si ndipo wakamtuma
mwenzao akaombe popote. Jamaa akazungukaaaaa weee..!!
Akatokea pale pale walipo wenzie..
akawambia, "...masela naombeni kiberiti". Kwa kuwa jamaa nao walikuwa wamekolea kisawasawa wakamjibu,,
"...Tumemtuma mshikaji, kaa hapa tumsubiri". Jamaa nae Si akakaa kusubiri kiberiti...!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Walisubiri, Wakasubiri, Wakasubiri... na
Wakasubiriiiii weee..!!! mpaka Saivi nimewaaacha wanasubiri tu..!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari mwanaumeMaandiko yanasema ukimtazama mwanamke na ukamtaman tiyari unakua ushazini naye............. Na barid hiii nikitazama maji na sabuni si tayari nakua nishaoga[emoji12]
yan mim cjui nikoje
Nimecheka sana mkuuKuna group nimeingia huko whatsapp nikauliza jamni vipi?kimya, jamani wazima humu nikakuta kimya[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
nimebadili jina la group kuwa "wauza madawa ya kulevya wa dar" hivi navyosema wameleft karibu wote ...nataka mambo mubashara bwana alaah[emoji2][emoji2][emoji2]kwamba kunijibu nalo ni suala mtambuka[emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha haaaaaa*Tulikua kwenye basi tunaelekea arusha, ile namcheki dereva kumbe ni best yangu na basi ilikua kwenye spidi hatari,* *nikaenda kumziba macho nikamuuliza* otea mi ni nani, kabla hajanijibu nikasikia kishindo kikubwa sana
na sasa hivi nimezinduka naona abiria wote tupo wodi namba 3 hapa KCMC Moshi nafkiri stendi imehamishiwa huku sikuizi.
[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
*Akili zangu nazijua mwenyewe!!!*
[emoji13] nachoka sana [emoji1] [emoji23]Wakuu samahani kama mtasikia mtu anauza gari mpya aina ya Noah new model ikiwa na vibali vyote kwa bei kati ya milioni 8 mpaka 12,rangi yoyote haina shida.We mwache tu aiuze mi sina hela![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaUmeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula chausiku unapewa chumba chakulala inapofika usiku unatakakutoka kwenda kujisaidi kwasababu taa zimezimwa unapamia vyombo vya chakula sebleni kipindi unajalibu kupapasa uviweke sawa mala taa inawashwa na mama mkwe anaona umeshika vyombo anakwambia, baba kama hukushiba ungesema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda juu kulia kwenye tiki bofya, itarespond yu hev sabskraib tu zis posti[emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hivi ni njia gani yakufanya ili mtu awe anaona huu uzi kila saa maana unapoteaga
*Mwanaume wa Arusha kakaa mahabusu miezi minne anatoka huku anacheka, mwanaume wa Dar kaambiwa aonyeshe vyeti tu analia. [Wanaume wa Dar Bwana].*
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ushawahi kuwa nyumbani na wazazi mnaangalia Movie halafu ghafla inatokea sex scene watu wanapigana mabusu wanarushana kitandani.. DINGI anapagawa ile kuua soo anakuulza "john ushapiga pasi GARI..!! Nawe ulivyojichanganya unajibu " umeme umekatika mzee''
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kauli mbiu siku ya wanawake Duniani.
*Mama Ongea na Mwanao atoe vyeti*