Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Asante sana na Mungu akubariki Kwa kutupunguzia stress.
 
Kijana unaweza kufanya stand up comedy...umenichekesha kabla sijalala leo....asante.
 
Stress ni nini,

Stress ni pale upo kuelekea kazini kwa bahati mrembo anakuomba lifti

Bahati mbaya hali yake inabadilika unamkimbiza hospital, baada ya muda doctor anatoka anakwambia hongera, unajiuliza hongera ya nini ana kwambia mkeo ana mimba.

Una tahamaki na kumwambia daktari huyu sio mke wangu lakini kale kadada kwa sauti ya nyororo kanamwambia daktari ni mimba yake, unashtuka daktari anakwambia hebu njoo nikupime

Baada ya muda daktari anatoka anakwambia ni kweli mimba sio yako unashusha pumzi, lakini anakwambia nilivyokupima nimegundua huna uwezo wa kudharisha unapatwa na mshitiko na kupata na mawazo na kufikiria kama sina uwezo wa kuzalisha wale watoto watatu nilio nao ni wa nani.?
 
[emoji38] [emoji38]
 
jana nmetoka kuangalia movie ya kivita,na mm nkajiona kama nmeshakua stering vle..nkachkua mwiko nkatokea nao barabaran nkasimamisha difenda la FFU nkawauliza mnatoka wapi na mnaenda wap?
Hadi sasa hivi nupo kitandan napewa matibabu, @@@AKILI YANGU NAIJUA MWENYEWE!!!!...
 
Hahahahaaaaaaaaaaaa . Umenochekesha sana Leo.
 
Mambo ya daladalan bhana
Boy: Dada mambo
Girl: mwanaume suruali nikupeleke WAP?
Boy: wanapouza mashati!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nmecheka had nmepitiliza kituo naona mahali pame andikwa miltar lugalo afu niko ndan ya fensi naskiza atae kuja nielkeza[emoji12]
 
Kuna group nimeingia huko whatsapp nikauliza jamni vipi?kimya, jamani wazima humu nikakuta kimya[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
nimebadili jina la group kuwa "wauza madawa ya kulevya wa dar" hivi navyosema wameleft karibu wote ...nataka mambo mubashara bwana alaah[emoji2][emoji2][emoji2]kwamba kunijibu nalo ni suala mtambuka[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Daaahhh nimecheka kwa nguvu nusura ushuzi utoke eti mmetoka wap mnaenda wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…