Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Konda kamwambia abiria gari imejaa , kwa jazba abiria kasema hata kama imebaki nafasi ya inzi mimi napenya , konda ikabidi aning'inie kiaina na kumpisha .
 
*Bangi nimeacha tangu siku nimevuta nikakutana na wajeda, nikawaita wanamgambo, ile nashituka niko hospital, mama anamwambi dada, mpozee uji kaamka, nikamuuliza, nimejifungua mtoto gani, bi mkubwa akazimia. Nkaapa sitavuta bangi tena*[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji1787][emoji1787]
Mhhhhh
 
Majina ya kukwepa kuitikia Msimu huu wa krismasi na Mwaka Mpya: Ukisikia mtu kakuita hivi, usiitike na usijaribu ku-smile hata kidogo, utakuja kinishukuru baadae!! 1. Mkubwa 2. Tajiri wangu 3. Boss wangu 4. Kiongozi 5. Mkurugenzi 6. Manager 7. Chief 8. Brigedia General 9. Honey 10. Dear nikuambie kitu..? 11.Mutu Ya Nguvuu 12.Mzee 13.Patroo 14. Kaka mukubwaaaaaa 😂😂😂😂 Bro Kimbia tena kama hiyo 9 na 10 usigeuke hata nyuma!!
zima sim ng'oa na betri kabsa
 
*Tulikua kwenye basi tunaelekea arusha, ile namcheki dereva kumbe ni best yangu na basi ilikua kwenye spidi hatari,* *nikaenda kumziba macho nikamuuliza* otea mi ni nani, kabla hajanijibu nikasikia kishindo kikubwa sana
na sasa hivi nimezinduka naona abiria wote tupo wodi namba 3 hapa KCMC Moshi nafkiri stendi imehamishiwa huku sikuizi.
[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]

*Akili zangu nazijua mwenyewe!!!*
Hahhhh u made my day
 
Mke baada ya kujifungua kwa njia ya upasuaji mme wake kalazimika kuvumilia kwa zaidi ya miezi mitatu bila kufanya tendo la ndoa hadi akaanza kutokwa vipele usoni kama mvulana pamoja na vijipu. [emoji15] Wanaume sisi ni wavumilivu sana kuliko wanawake.[emoji87] Baada ya mke kuona vile akawa anamuonea huruma sana mme wake. Mke akaamua kuchukua elfu 30 akampa mme wake akamwambia aende akatafute mwanamke ili amalize hamu zake ila akamwambia mme wake kuwa "NAOMBA LAKINI UTUMIE KINGA USIJE UKAAMBUKIZWA MAGONJWA" Mme akapokea zile pesa kwa furaha akiwa haamini na kuondoka huku akimshukuru sana mke wake kwa moyo wake wa huruma. [emoji39] Baada ya saa moja kama na robo, mme akarudi akiwa anatabasamu sana huku akionekana mwepesi na mchangamfu[emoji1] *Mke:* vipi mbona umewahi sana kurudi? Mme akajibu akisema: "Sijaenda mbali sana, nimefanikiwa kupata hapo jirani tu kwa mama MONIKA, si unajua mme wake hayupo amesafiri? kwa hiyo nilivyo mwambia tu akakubali maana na yeye alikuwa na hamu kwa kuwa hajafanya siku nyingi kutokana na mme wake kuwa safarini" *Mke:* Basi kama ni hapo kwa mama Monika naamini amekupa bure kwa kuwa ni jirani yetu, kwa hiyo pesa zipo wapi? *Mme:* Hapana alikataa kukubali kwa bure na nilimpa elf 10 akasema haitoshi kwa hiyo nikampa tu yote ndo kakubali" *Mke:* Kumbe mama MONIKA ana roho mbaya hivyo? Yeye mbona alipo jifungua mwanae MONIKA nilimpa mme wake bure, yeye ameshindwa nini kukupa bure? ******************************* Hadi muda huu bado mme hajaongea chochote na naona amelala chali wanampepea, sijui itakuwa ni uchovu wa safari au uchovu wa mechi !
Huyu mume naye mbona alivyoenda kwa mama Monica hakuzimia? Hahahahaahahahahah
 
Nim
Being African is Hard You Even talk to Cocroaches and Mosquitoes before killing them Like "Unaenda wapi wewee..? Then.. *Paaaah!!*
Nimecheka kama chizi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom