Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

BREAKING NEWS
Nipo hapa tanga na tukio linaloendelea sasa ivi hapa mjini maeneo barabara ya 12,katika hali isiyo yakawaida dada mmoja aitwae Nusurat Khamis mweny umri wa miaka 22 amekutwa na vichwa viwili kweny mkoba wake. Aidha dada huyo inaelezwa kuwa alikuwa akitokea maeneo ya Raskazone na alipanda bodaboda had hapa katkat ya jiji lacTanga barabara ya 12, bodaboda ndiye aliyetoa taarifa kwa watu wa usalama kuwa alianza kusikia haruf ambay hakuielewa ikitok kweny mkoba wa huyo dada hali ambayo ilimfanya apate wasiwasi na hiyo ilpelekea tu baada ya kumshusha nakulipwa pesa yake akawastua polis waliokuw eneo hilo. Aidha polis walimfuata na kutaka kumpekuwa ili kujiridhisha lkn dada huyo alikuwa mkali mithili ya mbogo aliejeruhiwa. Aidha baada ya nguvu kubwa kutumika ili kumsachi dada yule alikosa ujanja nakujikuta anakuwa mpole. Baada ya mkoba wake kufunguliwa. Loooh!!! Huez amini vichwa viwili vilikutwa ndan ya mkoba wake kimoja ni kichwa cha cherehan na kingine kichwa cha samak ajulikanae kama kambare.

Sikukutuma usome [emoji23]
 
@Freyzem,Hatariii konk [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji114]
 
FB_IMG_15752193768429845.jpg
 
A man suspects his wife was cheating on him,so when he left town,he hired a famous Chinese detective to investigate.A few days later he received a letter;Most Honorable Sir,You Leave House,He come to House.He and She Leave House,I Follow.He and She Go To Hotel,I Climb Tree to See.He kiss She,She Kiss He.He Strip She,She Strip He.I Play With Me,I fall out Of Tree.I Not See.No Fee.Chen Lee.
 
Back
Top Bottom