Ally msigity
New Member
- Oct 24, 2020
- 0
- 0
πππππMwalimu kaniulizaa kama mtoto mdogo anaitwa mchanga... Je mtu mkubwa anaitwaje? ... Nikamjibu anaitwa kokoto..... Ameniitaa staff room labda atakuwa ameniitia chai
Huyu mwalimu ana roho nzuri sio kama mwl Msigwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππHuyo usongo wake utaondolewa Mirembe tu.Sasa si umesema wenye Stress wapite hapa, mpe nyingine labda atacheka na kumwondolea msongo
hahahaaa you made my day bruhNimetoka kununua maembe sokoni kwa kuwa nlikuwa sina chombo cha kubebea muuzaji kaniwekea kwenye box, ndipo safari ikaanza. Nilipopita karibu na kituo cha Police ghafla nikasimamishwa tena kwa sauti kubwa "wewe simamaaaaa pumbavu" nikatii sheria ile naulizwa umebeba nn, kabla sijajibu nikapewa kofi moja takatifu, ndo nikaambiwa haya jibu sasa nikawaambia maembe nikapulizwa kofi tena. Baada ya wale Police kulifungua lile box wakakuta kweli ni maembe, kumbe yule muuzaji aliniwekea maembe kwenye box lililoandikwa "KIROBA ORIGINAL". [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndugu zangu saivi mwe makini na mabox mnayobebea mizigo yenu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Lahaula lakwata,Barakoa hizi ilibaki kidogo nimtongoze mamamkwe!
Duh! mamawakwe wa siku hizi bado wanaonekana vijana rabsha hiyo jasho lazima likutoke. Usiombe yakukuteLahaula lakwata,
ndio imetiki sasa,
mko kwenye point of no return (ushachukua room, unamsalula Diwali) , unagundua ni Mama Mzaa Mkeo, unafanyaje Muzee?
na mm navaa barakoa mpaka machoni asigundue kuwa nimemjua maana kanitegeaLahaula lakwata,
ndio imetiki sasa,
mko kwenye point of no return (ushachukua room, unamsalula Diwali) , unagundua ni Mama Mzaa Mkeo, unafanyaje Muzee?