Nimetoka kununua maembe sokoni kwa kuwa nlikuwa sina chombo cha kubebea muuzaji kaniwekea kwenye box, ndipo safari ikaanza. Nilipopita karibu na kituo cha Police ghafla nikasimamishwa tena kwa sauti kubwa "wewe simamaaaaa pumbavu" nikatii sheria ile naulizwa umebeba nn, kabla sijajibu nikapewa kofi moja takatifu, ndo nikaambiwa haya jibu sasa nikawaambia maembe nikapulizwa kofi tena. Baada ya wale Police kulifungua lile box wakakuta kweli ni maembe, kumbe yule muuzaji aliniwekea maembe kwenye box lililoandikwa "KIROBA ORIGINAL". [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndugu zangu saivi mwe makini na mabox mnayobebea mizigo yenu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]