Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

[/hatareeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]]
 
Daaah nimecheka sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23] noma sn hii..!!
 
Hatarii [emoji3][emoji3]
 
..."nimefika hospital na mpenzi wangu kupima H.I.V baada ya vipimo nikamuacha mpenzi wangu kwenye benchi nikasema ngoja nitembe tembee kidogo, nimejikuta niko nyumbani ndio nachomeka simu kwenye charge hapa maana iliisha nikiwa najipiga selfie huko njiani"
 
Jirani yetu aliponunua gari wife alinilazimsha nami ninunue basi nikajibana nikanunua baada ya muda jirani yetu akaongeza nyumba kwani alikuwa na uwanja mpana kama wetu basi hilo nalo likawa kero mpaka nasi tukaongeza jengo sijakaa sawa jirani akamuhamishia mtoto wake shule ya feza hilo nalo lilisumbua sana mpaka nikanyoosha mikono kijana wetu nikamuhamishia feza wife akasisitiza huo ndio uanamume kuiga mambo mazuri na jirani yetu ni mfano wa kuigwa sasa jana jirani kaongeza mke wa pili wife alikuwa amekwenda safari ndo namsubiri.
 
Ha ha .
 
Wanapoitwa wazee wa baraza la mahakama wengi wao wanakuwa ni wazee kweli. Sasa katika mahakama zetu za mwanzo kilitokea kituko palikuwa na wazee watatu wa baraza mmoja wa kike sasa mzee mmoja wa baraza alifanya juhudi mara kadhaa kumtokea yule mzee wa baraza wa kike bila mafanikio.

Kukawa na kesi bint anaelezea namna mshtakiwa alivyomwambia maneno ambayo aliona hastahili kumwambia sasa namna ya kueleza mbele ya hakimu akaona haya ikabidi hakimu amwambie aandike basi bint akaandika aliniambia hivi "twende tukatombane "hakimu alipomaliza kusoma akampa mzee wa baraza wa kwanza ambae alikuwa yule mwanamke nae baada ya kusoma ikabidi ampe mzee wa baraza wa pili ambae amekuwa akimtongoza mara kadhaa kumbe waqt mahakama inaendelea yule mzee bazazi alikuwa ameuchapa usingizi hajui kinachoendelea anakurupushwa na kikaratasi kimeandikwa maneno hayo basi nae akajua ombi lake limekubaliwa akamnong'oneza sasa hivi au baada ya mahakama yule mzee wa baraza wa kike akabaki ameduwaa
 
Ulikosea ungepaka ka pipa moja la grease!! sasa wewe unapaka ya mgando kawaida??
 
HAPA BUSARA INAHITAJIKA

Mwanamke kaazima ndoo ya mpangaji mwenzake chumba cha pili ambae ni kijana hajaoa.Alipomaliza kuoga akajifunga khanga yake moja akatoka bafuni akairudisha ndoo, alipofika ndani kwake akakumbuka amesahau chupi yake kwenye ile ndoo, akatoka harakaharaka vilevile na khanga moja na kugonga mlango.
Jamaa akamwambia aingie ndani aichukue, Anatoka tu mlangoni anakutana na mumewe anatoka kazini kamuona mkewe kavaa khanga moja na mkononi kashika chupi.
Je wewe ungekuwa ni mume au mchumba wake ungefanya maamuzi gani?πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸŒ΄πŸŒ΄πŸ‘ŠπŸΏ
 
Tunawataja na kuwasifia kina newton na galileo kila siku ila pana genius mmoja anakuwa underrated lakini alileta mapinduzi makubwa katika sekta ya mapenzi si mwingine ni yule alie gundua style ya chuma mboga aisee jamaa aliumiza sana kichwa ila hatumuadhimishi wanamume tunakwama wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…