Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Na vipi dog style?! [emoji41][emoji41][emoji41]Tunawataja na kuwasifia kina newton na galileo kila siku ila pana genius mmoja tunam underrated lakini alileta mapinduzi makubwa katika sekta ya mapenzi si mwingine ni yule alie gundua style ya chuma mboga aisee jamaa aliumiza sana kichwa ila hatumuadhimishi wanamume tunakwama wapi?