Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Ahahaha et una subscribe kwenye exit ahahahaha[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]wenye vi-tecno vyetu sasa....kusubscribe kwa juu ndo wapi?pale kwenye exit?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Basi utaondoka na stress..!
Stress ni nini??
Stress ni pale umeenda kijijini kwa bibi ako huku umebeba jeans zako tano zile ja mtindo wa kuchanika (chanika jeans) sasa siku ukazifua ukazianika ukaenda zako kutembea ile unarudi jioni unakuta bibi yako kazianua afu kazishona zote!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Future [emoji289]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asanthe sana kwa hiki kichekesho,nimecheka kwa sauti eti nini,hakuna anachoweza kufanya samsung, tecno asiweze [emoji23][emoji23][emoji23]tatizo la tecno ni nini acha kujikweza ww..
hakuna atafanya wa samsung mi tecno nisifanye
Ninakama miez miwil hv sijawah kufagia ghetto
wala kufua shuka bi mkubwa kanisema mpaka
kachoka, jana nipo zangu kitaan nikakuta cm
yangu inaita namba ngen kupokea nasikia sauti
tamu ya mtoto wakike kuuliza nan ananiambia
neema jiran yetu akaniambia Leo anatakakuja
ghetto kusoma nikafurah balaa. Leo nimeamka
nikapiga deki nikafua mashuka nikatoa mauchafu
hadi juu ya bati daaa mother ananicheka kinoma
huku anasema mtoto neema kanipatia na uchafu
wangu hapa nimempigia cm neema namuuliza
kama anakuja ananiambia nimkome alitumwa na
mama yangu tu ili nifue mashuka na kufanya
usafi ghetto eti nimezid uchafu.Hivi nnavyo kuwambia narudisha uchafu wote ndani! Sipendagi ujunga mimi [emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]SHEMEJI LAMBA HARAKA TUMALIZE NATAKA NIKAOGE, Jamaa kusikia vile akavunja mlango kwa hasira na kuingia ndani, kakuta mkewe na ndugu yake WANACHEZA KARATA"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wivu nomaa asee!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maswali Ya Mtandaoni Bhana!
Eti Unaweza Kuchoma Cheti chako cha *Form Six* ukipewa *_Billion 2??_*
Kwa Upande Wangu Mimi Sio Cheti Tu Hata Shule Nachoma, Pia Naweza Kumnyofoa Teacher Miguu...!![emoji35]
*Nishavurugwa Kitambo!!*
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Makaka poa pia wanasoma ujumbe huu, jiandae kwa send of.*mimi ninae soma Ujumbe huu bilaa kushauriwa na
mtuu tena kwaa akili zanguu timamu
nimetafakari sanaa tokaa kipindi kirefu
sikuweza kupata jibu nimeona bora aliyepost
post hii [HASHTAG]#lothrito[/HASHTAG] awe mume wangu halali wa ndoa bila pingamizi lolote kabisa* [emoji818] Asante
DuuuhMakaka poa pia wanasoma ujumbe huu, jiandae kwa send of.
Kuna mdada hapa nimemuuliza anasema kilichokuwa kinawaliza zamani ni midume ya enzi hizo kuwa na madushe marefu na manene hivyo mdada akifikiria kwenda kulitumikia dushe kubwa kama la punda lazima kwanza alie.!ZAMANI KIDOGO MIAKA YA 1999 kurudi nyuma MABIBI HARUSI walikuwa wakilia kwenye harus MATRON walikua na kazi za kuwafuta machozi hadi leso tatu au nne...SASA HIVI MABIBI HARUSU, wanaimba, wanacheka wanacheza kwaito hadi viduku....NAHOJI TU, ...Kilichokua kinawaliza wazamani nini, na kinachowafurahisha wa siku hizi ni kitu gani ?....kila mtu aniambie wazo lake.
Soma tenasijaelewa