Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Good
Basi utaondoka na stress..!

Stress ni nini??
Stress ni pale umeenda kijijini kwa bibi ako huku umebeba jeans zako tano zile ja mtindo wa kuchanika (chanika jeans) sasa siku ukazifua ukazianika ukaenda zako kutembea ile unarudi jioni unakuta bibi yako kazianua afu kazishona zote!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Future [emoji289]
 
tatizo la tecno ni nini acha kujikweza ww..
hakuna atafanya wa samsung mi tecno nisifanye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asanthe sana kwa hiki kichekesho,nimecheka kwa sauti eti nini,hakuna anachoweza kufanya samsung, tecno asiweze [emoji23][emoji23][emoji23]
 
IMG-20170411-WA0014.jpeg
 
Ninakama miez miwil hv sijawah kufagia ghetto
wala kufua shuka bi mkubwa kanisema mpaka
kachoka, jana nipo zangu kitaan nikakuta cm
yangu inaita namba ngen kupokea nasikia sauti
tamu ya mtoto wakike kuuliza nan ananiambia
neema jiran yetu akaniambia Leo anatakakuja
ghetto kusoma nikafurah balaa. Leo nimeamka
nikapiga deki nikafua mashuka nikatoa mauchafu
hadi juu ya bati daaa mother ananicheka kinoma
huku anasema mtoto neema kanipatia na uchafu
wangu hapa nimempigia cm neema namuuliza
kama anakuja ananiambia nimkome alitumwa na
mama yangu tu ili nifue mashuka na kufanya
usafi ghetto eti nimezid uchafu.Hivi nnavyo kuwambia narudisha uchafu wote ndani! Sipendagi ujunga mimi [emoji57][emoji57][emoji57]


Aiseeeeh!!

Daaaaah
 
SHEMEJI LAMBA HARAKA TUMALIZE NATAKA NIKAOGE, Jamaa kusikia vile akavunja mlango kwa hasira na kuingia ndani, kakuta mkewe na ndugu yake WANACHEZA KARATA"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wivu nomaa asee!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]
 
ZAMANI KIDOGO MIAKA YA 1999 kurudi nyuma MABIBI HARUSI walikuwa wakilia kwenye harus MATRON walikua na kazi za kuwafuta machozi hadi leso tatu au nne...SASA HIVI MABIBI HARUSU, wanaimba, wanacheka wanacheza kwaito hadi viduku....NAHOJI TU, ...Kilichokua kinawaliza wazamani nini, na kinachowafurahisha wa siku hizi ni kitu gani ?....kila mtu aniambie wazo lake.
 
Maswali Ya Mtandaoni Bhana!

Eti Unaweza Kuchoma Cheti chako cha *Form Six* ukipewa *_Billion 2??_*
Kwa Upande Wangu Mimi Sio Cheti Tu Hata Shule Nachoma, Pia Naweza Kumnyofoa Teacher Miguu...!![emoji35]

*Nishavurugwa Kitambo!!*
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
*mimi ninae soma Ujumbe huu bilaa kushauriwa na
mtuu tena kwaa akili zanguu timamu
nimetafakari sanaa tokaa kipindi kirefu
sikuweza kupata jibu nimeona bora aliyepost
post hii [HASHTAG]#lothrito[/HASHTAG] awe mume wangu halali wa ndoa bila pingamizi lolote kabisa* ✔ Asante
 
*mimi ninae soma Ujumbe huu bilaa kushauriwa na
mtuu tena kwaa akili zanguu timamu
nimetafakari sanaa tokaa kipindi kirefu
sikuweza kupata jibu nimeona bora aliyepost
post hii [HASHTAG]#lothrito[/HASHTAG] awe mume wangu halali wa ndoa bila pingamizi lolote kabisa* [emoji818] Asante
Makaka poa pia wanasoma ujumbe huu, jiandae kwa send of.
 
9daf23c8ddd798444992716b8d8baef1.jpg

Cobra style. Eagle style
Nani katisha[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ZAMANI KIDOGO MIAKA YA 1999 kurudi nyuma MABIBI HARUSI walikuwa wakilia kwenye harus MATRON walikua na kazi za kuwafuta machozi hadi leso tatu au nne...SASA HIVI MABIBI HARUSU, wanaimba, wanacheka wanacheza kwaito hadi viduku....NAHOJI TU, ...Kilichokua kinawaliza wazamani nini, na kinachowafurahisha wa siku hizi ni kitu gani ?....kila mtu aniambie wazo lake.
Kuna mdada hapa nimemuuliza anasema kilichokuwa kinawaliza zamani ni midume ya enzi hizo kuwa na madushe marefu na manene hivyo mdada akifikiria kwenda kulitumikia dushe kubwa kama la punda lazima kwanza alie.!
Ila eti siku hizi madume wengi wana "vifuniko vya peni"
a.k.a. Vibamia hivyo bibi harusi wengi hawana hofu tena.!
 
Back
Top Bottom