Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Vichaa walipanga kutoroka,
wakakubaliana wamnyonge mlinzi
watoroke! Walipofika getini wakakuta
geti lipo wazi na hakuna mlinzi,
wakasema "Turudi mipango yote
imevurugika...[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hali ya hewa ya dar es salaam kwa kipindi hiki inapendeza sana mkiwa wawili


mmoja apike chai mwengine akanunue chapati..we endelea tu kufikiria ujinga
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
MAMBO KUMI ( 10 ) NILIYOJIFUNZA KIPINDI HIKI CHA MAGUFURI
1 ) Kumbe unaweza kushinda njaa bila kufa
2 )Kumbe unaweza kubeba chakula na kwenda nacho kazini.
3 )Bila bodaboda, Bila bajaji kumbe unaweza kutembea na ukafika Kazini.
4 )Tafadhali nipigie kumbe ni huduma ya msingi.
5 )Nyama ni mbaya kwa Afya yako.
6 )Jiko la mkaa kumbe linapika chakula kizuri sana.
7 )Ukisaga Mahindi yasiyokobolewa kumbe yanatoa unga safii.
8 )Maji ya kuchemsha kumbe ni matamu sana.
9 )Ugali pia kumbe ni breakfast. (kifungua kinywa).
10 )Ukioga na sabuni ya Kipande, kumbe bado unaKuwa msafi.
AHSANTE MAGUFURI UMENIFUNZA MENGI..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…