Van Pauser
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 417
- 420
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]UKISIKIA DEMU WAKO ANAKWAMBIA "NIPELEKE SWIMMING" NA HALI YA HEWA HII UJUE HUYO SIO DEMU NI MAMBA.
[emoji16][emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]UKISIKIA DEMU WAKO ANAKWAMBIA "NIPELEKE SWIMMING" NA HALI YA HEWA HII UJUE HUYO SIO DEMU NI MAMBA.
[emoji16][emoji16][emoji16]
Huwezi kua na akili kamwe hahahahahTANGAZO MUHIMU SANA!!
Ndugu yangu mkristo na muislam chukua tahadhari mapema sana.
Usije ukaenda KFC au cafe yeyote ukala vyakula kama pizza [emoji487],chips kuku wa kienyeji au wakisasa, eggchop, bagga, maini, sandwich, beef meat chop nk. Bila ya kunikumbuka na Mimi maana pia ndio mambo yangu hayo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeua aseehhh mkuulugha bhana,
Jamaa alienda Saudi
Arabia, kataka kuvuta
sigara lkn hakuwa na
kiberiti. pembeni yake
kukawa na muarabu
anacho sasa hajui
amuombeje, basi lilimtoka
tu "Ya Muarrab, give me Jahannam''[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakumbuka exile za chuo aseeh!Wanaume Bhana
Tunaushirikiano Sana, Eti Mwenzetu Akija Na Demu Gheto, Wengine Wote Tunaaga Kwa Sababu Mbalimbali ili mtu aliwe
Mungu Anatuona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Namuombea atie mimbaYEYOTE ANAYESOMA HUU UJUMBE NAMUOMBEA MWAKA HUU APATE MIMBA
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Type Amen[emoji120]
Namuombea atie mimbaYEYOTE ANAYESOMA HUU UJUMBE NAMUOMBEA MWAKA HUU APATE MIMBA
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Type Amen[emoji120]
Jamani kama kuna mtu ana picha ya WAHENGA nilikua naomba mana toka nimezaliwa nawasikia tu sijawahi kuwaona.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nafwaa Huku jemeniSijui kwanini wanawake wagumu sana kuelewa. Mke wangu aliondoka nyumbani na kumwacha mtoto wetu Wa kiume Wa miezi 6 akilia mnooo. Dada Wa kazi akambembeleza weeee hakunyamaza. Akamwimbia hakunyamaza. Akaamua kutoa nyonyo zake na kumpa mtoto. Mwanangu akanyamaza pale pale. Akiwa anamnyonyesha Mimi nikaingia. Nikamuwakia dada. " unataka kumuambukiza mtoto magonjwa?[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35] [emoji35]. "Hapana baba hayatoi maziwa Mimi nimempa tu anyamaze!!" . " kweli hayatoi?". Nikaamua kuthibitisha. Nikamtoa mtoto na nikawa nanyonya Mimi. " ahaa kweli hayatoi. Hebu hilo kingine! Nalo halitoi?. Mara wife kaingia.nikamwambia kuwa nafanya uchunguzi Wa nililolikuta. Hakuamini. Hebu niambieni. Wapi nimekosea? Kufuatilia afya ya mtoto ni kosa? Wanawake acheni hizo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]