Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Sometimes nikisoma Bible huwa namchukia shetani sana...
Yani imagine alikua anamshawishi Yesu abadilishe mawe yawe mkate....

Yani inamaana now Nyumba zetu tungekua tunajengea mikate....

Kwaiyo kama umejenga kwenye hifadhi ya barabara Tanroads wakija na chai tu... Wanaikula Nyumba yako yote.....

Asee I hate shetani na idea zake zote....
 
MAMBO KUMI ( 10 ) NILIYOJIFUNZA KIPINDI HIKI CHA MAGUFURI
1 ) Kumbe unaweza kushinda njaa bila kufa
2 )Kumbe unaweza kubeba chakula na kwenda nacho kazini.
3 )Bila bodaboda, Bila bajaji kumbe unaweza kutembea na ukafika Kazini.
4 )Tafadhali nipigie kumbe ni huduma ya msingi.
5 )Nyama ni mbaya kwa Afya yako.
6 )Jiko la mkaa kumbe linapika chakula kizuri sana.
7 )Ukisaga Mahindi yasiyokobolewa kumbe yanatoa unga safii.
8 )Maji ya kuchemsha kumbe ni matamu sana.
9 )Ugali pia kumbe ni breakfast. (kifungua kinywa).
10 )Ukioga na sabuni ya Kipande, kumbe bado unaKuwa msafi.
AHSANTE MAGUFURI UMENIFUNZA MENGI..
Duh
 
Mpemba Alikuwa Anamfundisha Binti yake
MBA MBE MBI MBU

Binti akamuuliza baba mbn umeruka moja?
Baba akamjibu iyo utaisoma kwa mumeo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Hahahahahaha,,, Jf Raha sana
 
Two thieves were to be jailed kulingana na kile ameiba
Kamau:aliiba crate ya soda so akafungwa miaka 24
Njoroge:aliiba tray ya mayai so miaka 30
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwaura collapsed. Aliiba ngunia ya mchele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jamaa alikuwa haoni akafanyiwa upasuaji wa macho na Wachina nchini China na kuwekewa macho ya paka, baada ya muda akatolewa bandeji na kuulizwa vp unaona, akajibu naona dagaa tu
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125]
 
"UNGEKUA WEWE NDIE KINYOZI UNGEMNYOA STYLE GANI?
....
JAMAA: Harooo, kijana hebu changamsha mkono huo usininyoe kama mrembo mimi!!"
KINYOZI; Poa usiogope!!"
JAMAA; Sasa niogope nini kwa mfano yaani??
KINYOZI; hapana bro. yani namaanisha nimekusoma"
JAMAA; Unisome mie kitabu?..kwaio unaniweza au sio?"
KINYOZI; mmmmh? apana bro nsamehe yaishe..kwa..kwa kwaio nkunyoe staili gani? kaka?"
JAMAA: Utajua mwenyewee!! wewe si ndio kinyozi"..Sasa jichanganye unikosee!! Utafurahi na roho yako!!"
3c309ae0048fa01bc13412edbf3f7626.jpg
 
Hv wewe mwanaume lakini mkeo ana kichwa kikubwa, bado tu unataka uitwe kichwa cha familia[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mume baada ya kurud om after work kachoka kamkuta mkewe aliye mtoa sigimbi kwa bibi kanuna balaa.
Mume: una nini mke wng?
Mke: kwani hujui?
Mume: ningekua najua nisinge kuuliza mke wng.
Mke: siku hizi sikuelewi kabisa mume wng, wataka nikupende vp?. Nataka unieleze ni nani anaitwa Alarm anapiga simu kila siku alfajiri tu na wewe unaikata ili nisisikie maongezi yenu.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hahahahaaaaaaa
 
YEYOTE ANAYESOMA HUU UJUMBE NAMUOMBEA MWAKA HUU APATE MIMBA
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Type Amen[emoji120]
Pumbaf, jana nilipata mimba[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maana nilikula wali kilo moja na maharage robo kilo, usiku nilitema mate sana[emoji38] [emoji38] Lakini bahati yako leo asubuhi imetoka[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuvimbirwa noma asee, nilihisi ndio mimba[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Mwanaume ni nani.!?

Mwanaume ni yule ambaye anaenda HOTELINI kwanza na kumuambia mhudumu wa hoteli nikija hapa na DEMU sema " IMEBAKI CHAI NA MAANDAZI.."
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbavu zanguuuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiii kali aisee
 
Pumbaf, jana nilipata mimba[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maana nilikula wali kilo moja na maharage robo kilo, usiku nilitema mate sana[emoji38] [emoji38] Lakini bahati yako leo asubuhi imetoka[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuvimbirwa noma asee, nilihisi ndio mimba[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Maaaweee....umeua[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sometimes nikisoma Bible huwa namchukia shetani sana...
Yani imagine alikua anamshawishi Yesu abadilishe mawe yawe mkate....

Yani inamaana now Nyumba zetu tungekua tunajengea mikate....

Kwaiyo kama umejenga kwenye hifadhi ya barabara Tanroads wakija na chai tu... Wanaikula Nyumba yako yote.....

Asee I hate shetani na idea zake zote....

Kumbe Bro Jesus alicheza sana pale alipochomoa Shetani eenh!! Bro alikuwa kichwa sana!!
 
Two thieves were to be jailed kulingana na kile ameiba
Kamau:aliiba crate ya soda so akafungwa miaka 24
Njoroge:aliiba tray ya mayai so miaka 30
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwaura collapsed. Aliiba ngunia ya mchele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Hii nimecheka kidogo nianguke
 
Back
Top Bottom