Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

 
Maisha yamekaza hadi unamuuliza mkeo kama ana boyfriend awakopeshe laki ? Na stress ni pale anapokujibu ngoja nimuulizie?⚰⚰"
...niko kwa wakala hapa tunatoa kwa uchungu...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,,, akianza kuzidai usilalamike
 
Bwana alikua ameketi na wake zake wawili sitting room waangalia TV pamoja. Akawa anasikia kiu lakini akaona ni hishima kumtuma yule bibi mdogo. Alipokua amekwenda kuleta hiyo glasi ya maji, bibi wa kwanza akaanza "Sasa ndio wanionesha nini! kama ni maji basi sote twajua kuteka. Ama wataka kumwangalia mwendo tu akienda na akirudi kuni dhalilisha mimi. Sawa lakini mungu yuko, dhalimu mkubwa wewe huna uadilifu mwanamume wewe basi tu" Bibi mdogo akirudi na glasi yake ya maji nae akaanza "Haya musha zungumza hiyo siri yenu! najua ulikua waniondoa ki hikima mupate kunisengenya lakini inshallah mungu atawashinda na dhulma zenu hizo" Heri angebaki na hio kiu yake maskini .
 
Ilitakiwa iwe Tenty one
 
JAMAA,,, hapa ni kituo cha polic???,,,,[emoji67]‍[emoji439]FFU, ,ndiyo tukusaidie nini????JAMAA,, mimi ni kipofu[emoji58],,,,, [emoji67]‍[emoji439]FFU,,,sasa unataka tukununulie macho[emoji102]!!???? JAMAA,,,hapana[emoji847] nataka nifanye fujo ili nione[emoji15],,,, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niko zangu home nimetulia, mara naskia jamaa Anasema ;
Nauza vifuniko vya asali
Nimetoka nje kuangalia kumbe anauza
chupi na sidiria
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kutaman kati c kuzur
 
Beka weeeeee hzo bangi za msumbiji hzo
 

Utakula juhudi yako.
 
Kukaa Mtaani Bila Ajira...
Nimeenda Kwenye Interview Leo Ile Naingia Mlangoni Nikaambiwa "Wait Please" Nkajibu "65kg Sir"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] *Sipendagi Maswali Mimi*

Kukaa Mtaani Bila Ajira...
Nimeenda Kwenye Interview Leo Ile Naingia Mlangoni Nikaambiwa "Wait Please" Nkajibu "65kg Sir"[emoji23]emoji23[emoji23][emoji23] *Sipendagi Maswali Mimi*
 
*MENDE anamuogopa PANYA, PANYA anamuogopa sana PAKA, na PAKA anamwogopa MBWA...wakati huo huo MBWA anamwogopa MWANAUME na kumbe MWANAUME anamwogopa MWANAMKE...sasa hutaamini nikikwambia MWANAMKE anaogopa #MENDE#*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

WANAWAKE BANAA SOMETIME WANACHOSHA[emoji124][emoji124][emoji124]
 
Nani kasema kiswahili rahisi???? Hebu jaza nafasi zilizoachwa wazi kwa kutumia �NDIO� au �HAPANA�
1)............. mimi ni chizi
2)............. mimi ni bwege
3)............mimi sina akili

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tigo Walianzisha Halichachi

Airtel Wakaiga Hatupimi

Voda Wakaiga Haliishi

Sasa Hivi Tigo Wameanzisha JAZA UJAZWE

Halotel na Wao Wameiga INGIZA UINGIZWE[emoji23][emoji23][emoji23]

Airtel na Wao Washaiga RAMBA URAMBWE[emoji23][emoji23][emoji23]

Vodacom na Wao Washaiga TIA UTIWE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Hapa Nilipo Naenda Kusajir Lain ya ZANTEL Maana Sipendagi Ujinga mimi[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…