Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marafiki wawili*(Elias na Ben)* walikuwa wanatembea mtaani akatokea mwanamke akarusha busu kwa mmojawapo kupitia dirishani katika jengo la ghorofa tatu.
Wakaanza kujadiliana kama ifuatavyo:
*Ben:* Mwanaume. Muone yule mrembo amenirushia busu
*Elias:* Kidume, tafadhali achana na huyo mwanamke, usimjali..
_(baadae yule mwanamke akamuashiria aende)_
*Ben:* Mwanaume yule mwanamke ameniita!
*Elias:* Rafiki yangu, usiende. Nakutafadhalisha.
*Ben:* Kwa nini unaniambia nisiende Wakati mrembo kama yule ananiita? Huo ni wivu
*Elias:* Ben, Ninakutafadhalisha tena, usiende, tafadhali usiende kule _(akihisi kutotiliwa maanani)_
_(Rafiki yake alimpuuza na alienda kwa yule mwanamke, mwanamke alishuka kukutana naye na wakapanda juu. Ghafla wakiwa wanataka kuanza taratibu za kula uroda, wakasikia mlio WA gari getini)_ .. [emoji344][emoji344]
*Lady:* _(akiangalia kupitia dirishani)_
Oooh! Yule ni mume wangu!!
*Ben:* Mama yangu !
Nipo matatani, kweli ? ..!!
*Lady:* Usiwe na khofu, jifanye kuwa Dobi na anza kupiga pasi hizo nguo
(akimuonyesha lundo la nguo)
_(Ben alitumia masaa matano kukamilisha kunyoosha zile nguo kwa sababu yule mume hakutoka tena siku ile)_
_(Siku iliyofuatia Ben alikwenda kwa Rafiki yake)_
*Ben:* Kaka, unaweza kuamini Jana nimepiga pasi nguo kwa masaa matano???
*Elias:* Lakini nilikwambia usiende. Nguo zote hizo ulizonyoosha, *Nilizifua Mimi Juzi!!*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
*When an experienced person speaks ... [emoji101]you must listen..!*
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,,, akianza kuzidai usilalamikeMaisha yamekaza hadi unamuuliza mkeo kama ana boyfriend awakopeshe laki ? Na stress ni pale anapokujibu ngoja nimuulizie?⚰⚰"
...niko kwa wakala hapa tunatoa kwa uchungu...
Hizo hawezi dai tena,si wanashirikiana mke?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,,, akianza kuzidai usilalamike
Mwalimu kaniulizaa kama mtoto mdogo anaitwa mchanga... Je mtu mkubwa anaitwaje? ... Nikamjibu anaitwa kokoto..... Ameniitaa staff room labda atakuwa ameniitia chai
Huyu mwalimu ana roho nzuri sio kama mwl Msigwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilitakiwa iwe Tenty oneIf...
99 is: Ninety nine,
88 is: Eighty eight,
77 is: Seventy seven,
66 is: Sixty six,
55 is: Fifty five,
44 is: Forty four,
33 is: Thirty three,
22 is: Twenty two,
Why 11 not Onety one?
Wazungu msitufanye Vilaza....!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mungu anawaona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kutaman kati c kuzurMarafiki wawili*(Elias na Ben)* walikuwa wanatembea mtaani akatokea mwanamke akarusha busu kwa mmojawapo kupitia dirishani katika jengo la ghorofa tatu.
Wakaanza kujadiliana kama ifuatavyo:
*Ben:* Mwanaume. Muone yule mrembo amenirushia busu
*Elias:* Kidume, tafadhali achana na huyo mwanamke, usimjali..
_(baadae yule mwanamke akamuashiria aende)_
*Ben:* Mwanaume yule mwanamke ameniita!
*Elias:* Rafiki yangu, usiende. Nakutafadhalisha.
*Ben:* Kwa nini unaniambia nisiende Wakati mrembo kama yule ananiita? Huo ni wivu
*Elias:* Ben, Ninakutafadhalisha tena, usiende, tafadhali usiende kule _(akihisi kutotiliwa maanani)_
_(Rafiki yake alimpuuza na alienda kwa yule mwanamke, mwanamke alishuka kukutana naye na wakapanda juu. Ghafla wakiwa wanataka kuanza taratibu za kula uroda, wakasikia mlio WA gari getini)_ .. [emoji344][emoji344]
*Lady:* _(akiangalia kupitia dirishani)_
Oooh! Yule ni mume wangu!!
*Ben:* Mama yangu !
Nipo matatani, kweli ? ..!!
*Lady:* Usiwe na khofu, jifanye kuwa Dobi na anza kupiga pasi hizo nguo
(akimuonyesha lundo la nguo)
_(Ben alitumia masaa matano kukamilisha kunyoosha zile nguo kwa sababu yule mume hakutoka tena siku ile)_
_(Siku iliyofuatia Ben alikwenda kwa Rafiki yake)_
*Ben:* Kaka, unaweza kuamini Jana nimepiga pasi nguo kwa masaa matano???
*Elias:* Lakini nilikwambia usiende. Nguo zote hizo ulizonyoosha, *Nilizifua Mimi Juzi!!*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
*When an experienced person speaks ... [emoji101]you must listen..!*
Beka weeeeee hzo bangi za msumbiji hzoSiku moja John na Beka walikuwa porini wanakunya, jinsi ya kutawaza ikawa inshu.
Beka kamuuliza Joni... "hivi joni mavi huwa yanang'ang'ania kwenye nguo zako?"
Joni akajibu kwa msisitizo.... "Hapana... hapana beka, haijawahi tokea mavi yakagandia kwenye nguo zangu.
Basi beka kwa haraka sana akachamba kwa kutumia shati la joni..
MAMBO KUMI ( 10 ) NILIYOJIFUNZA KIPINDI HIKI CHA MAGUFURI
1 ) Kumbe unaweza kushinda njaa bila kufa
2 )Kumbe unaweza kubeba chakula na kwenda nacho kazini.
3 )Bila bodaboda, Bila bajaji kumbe unaweza kutembea na ukafika Kazini.
4 )Tafadhali nipigie kumbe ni huduma ya msingi.
5 )Nyama ni mbaya kwa Afya yako.
6 )Jiko la mkaa kumbe linapika chakula kizuri sana.
7 )Ukisaga Mahindi yasiyokobolewa kumbe yanatoa unga safii.
8 )Maji ya kuchemsha kumbe ni matamu sana.
9 )Ugali pia kumbe ni breakfast. (kifungua kinywa).
10 )Ukioga na sabuni ya Kipande, kumbe bado unaKuwa msafi.
AHSANTE MAGUFURI UMENIFUNZA MENGI..
Kukaa Mtaani Bila Ajira...
Nimeenda Kwenye Interview Leo Ile Naingia Mlangoni Nikaambiwa "Wait Please" Nkajibu "65kg Sir"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] *Sipendagi Maswali Mimi*
Kukaa Mtaani Bila Ajira...
Nimeenda Kwenye Interview Leo Ile Naingia Mlangoni Nikaambiwa "Wait Please" Nkajibu "65kg Sir"[emoji23]emoji23[emoji23][emoji23] *Sipendagi Maswali Mimi*