Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

*Kwa Wale wadada mnaotaka kuolewa...Chagueni wanaume wenye PESA.infact, hakuna mwanaume MWAMINIFU..Lakin ni heri uyatoe MACHOZI mkiwa PARIS, lakin sio TANDALE*[emoji276][emoji196][emoji276][emoji196]
 
Kati ya Vitu vinavyomfurahisha mwanaume akiwa na demu mgeni chumbani ni pale demu atakaposema " Kafunge kwanza mlango vizuri "
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo mbio zake harmorapa anasubiri
 
IMG-20170410-WA0030.jpg
 
Bleaching your skin till you shine brighter than your future is not a problem, the problem is having White Face, Yellow Hands, Chocolate Lips, and Black Legs..My sister are you a zebra?
By Mugabe...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kitambo tukiwa watoto ulikuwa unaitwa uje ule kwa lugha tofauti kulingana na chakula kilichopikwa siku na muda husika

1. UGALI NA KUNDE
Mwitaji : sumaaa
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Uje ukule

2. UGALI NA SAMAKI
Mwitaji: we sumaa
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Unaitwa na Mama

3. WALI NA NYAMA/KUKU
Mwitaji: sumaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Shauri yako!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wanyakyusa sasa hiii ni sifa jaman kuna mtoto kazaliwa huko tayali anaitwa ATUPATIKANILE MWAKAROMA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanyakyusa mtatukosti, haya endeleeeni tu!!!
 
*WANAWAKE MPO BIZE NA WHATSAPP WAKATI VYOMBO, NGUO, UVUNGUNI MWA KITANDA KUCHAFUU..*

Halafu ukitoka hapo eti oooohhh mm Sina bahati ya kuolewa..[emoji23][emoji23]

UTAOLEWAJE WAKATI UNA SHINDA WHATSAPP ??
LABDA UTAOLEWA NA EMOJI....

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mhhhhhh! Mbafuuuu[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Back
Top Bottom