Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

b06b0362f1bd07460d0820c009949fa7.jpg
 
Marafiki wawili*(Elias na Ben)* walikuwa wanatembea mtaani akatokea mwanamke akarusha busu kwa mmojawapo kupitia dirishani katika jengo la ghorofa tatu.

Wakaanza kujadiliana kama ifuatavyo:

*Ben:* Mwanaume. Muone yule mrembo amenirushia busu

*Elias:* Kidume, tafadhali achana na huyo mwanamke, usimjali..

_(baadae yule mwanamke akamuashiria aende)_

*Ben:* Mwanaume yule mwanamke ameniita!

*Elias:* Rafiki yangu, usiende. Nakutafadhalisha.

*Ben:* Kwa nini unaniambia nisiende Wakati mrembo kama yule ananiita? Huo ni wivu

*Elias:* Ben, Ninakutafadhalisha tena, usiende, tafadhali usiende kule _(akihisi kutotiliwa maanani)_

_(Rafiki yake alimpuuza na alienda kwa yule mwanamke, mwanamke alishuka kukutana naye na wakapanda juu. Ghafla wakiwa wanataka kuanza taratibu za kula uroda, wakasikia mlio WA gari getini)_ .. [emoji344][emoji344]

*Lady:* _(akiangalia kupitia dirishani)_
Oooh! Yule ni mume wangu!!

*Ben:* Mama yangu !
Nipo matatani, kweli ? ..!!

*Lady:* Usiwe na khofu, jifanye kuwa Dobi na anza kupiga pasi hizo nguo

(akimuonyesha lundo la nguo)

_(Ben alitumia masaa matano kukamilisha kunyoosha zile nguo kwa sababu yule mume hakutoka tena siku ile)_

_(Siku iliyofuatia Ben alikwenda kwa Rafiki yake)_

*Ben:* Kaka, unaweza kuamini Jana nimepiga pasi nguo kwa masaa matano???

*Elias:* Lakini nilikwambia usiende. Nguo zote hizo ulizonyoosha, *Nilizifua Mimi Juzi!!*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

*When an experienced person speaks ... [emoji101]you must listen..!*
 
Mwanamke mrefu afu mwembamba akivaa wigi.. Akikaa mbali unaweza kudhani ni ufagio wa kukwangulia buibui
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134]
 
WANAWAKE BHANA MUNGU ANAWAONA

Jamaa kaamka asubuhi kavaa track suit akamuasha mkewe
MUME:Amka twende jogging mke wangu? [emoji4]

MKE: Alaaa kwa hiyo una maana mi tipwatipwa?[emoji19]

MUME: Hapana si hivyo jogging ni nzuri kwa afya. [emoji54]

MKE: Kwa hiyo una maana mi mgonjwa? [emoji53]

MUME: Basi yaishe endelea kulala

MKE: Kwa hiyo unaniona mi mvivu sana sio?
MUME:Hujanielewa mpenzi wangu sikuwa na maana hiyo baby [emoji47]
MKE:Kwa hiyo mie mjinga mpaka nashindwa kukuelewa?[emoji40]
MUME:Jamani mi sijasema hilo[emoji20]
MKE:Kwa hiyo mie muongo?
MUME:Chonde tusiendeleze haya asubuhi namna hii[emoji21]
MKE:Kwa hiyo mie ndio naendeleza ugomvi?[emoji36]
MUME:Sikia we lala mie naenda jogging.[emoji43]
MKE:Ndio zako hizo mambo yote unafanya peke yako hunishirikishi"
MUME:Unajua nimeanza kusikia kizunguzungu
MKE: Unaona nikiongea kidogo unakimbilia kuumwa, mbinafsi sana wewe......
Jamaa nimemuacha kibarazani kwake amewasha kipisi cha bangi anapiga paf anatafakari la kufanya[emoji189][emoji189][emoji189]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji763] [emoji124] [emoji124]
 
Two thieves were to be jailed kulingana na kile ameiba
Kamau:aliiba crate ya soda so akafungwa miaka 24
Njoroge:aliiba tray ya mayai so miaka 30
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwaura collapsed. Aliiba ngunia ya mchele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Atafungwa mpk jela ibomoke[emoji23][emoji23]
 
Kuna dem kanishobokea, eti anataka kesho nikamuone, aisee! Nimempania dadeki atakoma, kwa uchu nilionao[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Nakwenda namuona kisha nasepa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siwezi kupoteza muda wangu wa[emoji377] [emoji377] kwenda kumuona mtu[emoji34] [emoji34] [emoji34]
 
Back
Top Bottom