Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Je unafahamu JAZA UJAZWE?

Maana yake mjaze mimba binti yeyote wa Sumbawanga then kataa mimba uone kamamzee wake hajakujaza mimba wewe[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Bangi hupelekea nithink positive[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji125]
 
Kwel kabsa umewaza positive…!!
 
Mlinzi mmoja wa mochwari saa nane usiku alisinzia akiwa lindo alipoamka aliwaskia watu ndani ya mochwari wanaongea "hii yako hii yangu" akahisi labda wachawi wanagawana maiti, kumbe wizi walikuwa wanagawana mali walizoiba[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
WANAWAKE BHANA MUNGU ANAWAONA

Jamaa kaamka asubuhi kavaa track suit akamuasha mkewe
MUME:Amka twende jogging mke wangu? [emoji4]

MKE: Alaaa kwa hiyo una maana mi tipwatipwa?[emoji19]

MUME: Hapana si hivyo jogging ni nzuri kwa afya. [emoji54]

MKE: Kwa hiyo una maana mi mgonjwa? [emoji53]

MUME: Basi yaishe endelea kulala

MKE: Kwa hiyo unaniona mi mvivu sana sio?
MUME:Hujanielewa mpenzi wangu sikuwa na maana hiyo baby [emoji47]
MKE:Kwa hiyo mie mjinga mpaka nashindwa kukuelewa?[emoji40]
MUME:Jamani mi sijasema hilo[emoji20]
MKE:Kwa hiyo mie muongo?
MUME:Chonde tusiendeleze haya asubuhi namna hii[emoji21]
MKE:Kwa hiyo mie ndio naendeleza ugomvi?[emoji36]
MUME:Sikia we lala mie naenda jogging.[emoji43]
MKE:Ndio zako hizo mambo yote unafanya peke yako hunishirikishi"
MUME:Unajua nimeanza kusikia kizunguzungu
MKE: Unaona nikiongea kidogo unakimbilia kuumwa, mbinafsi sana wewe......
Jamaa nimemuacha kibarazani kwake amewasha kipisi cha bangi anapiga paf anatafakari la kufanya[emoji189][emoji189][emoji189]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngoja nikavute nae nimsaidie mawazo
[emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] hunipelekea nithink positive[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wanaume Bhana
Tunaushirikiano Sana, Eti Mwenzetu Akija Na Demu Gheto, Wengine Wote Tunaaga Kwa Sababu Mbalimbali ili mtu aliwe

Mungu Anatuona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji104][emoji104][emoji104][emoji104][emoji104][emoji104][emoji104]haya
 
Ngoja nikavute nae nimsaidie mawazo
[emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] hunipelekea nithink positive[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaa,,,, sio kwa kuchangnyna huko,,, unaweza kuamua kuipika bangi km mboga kabsaa[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Asikwambie mtu bangi tamu sana ukiipika kwa nazi then ule na ugali[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] niliwahi kufanya hivyo 2004, ila usingizi wake ni noma, maana ilikuwa ni kuamka kwenda toilet na kurudi kulala siku nzima[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio maana siku hizi navuta tu[emoji377]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,, et ukaiwk nazi, ww jamaa sio mzim kabsaaa…!
 
Its true believe me, then mbegu zake nilikuwa nagandisha, then nakula kama ufuta[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji377]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] ,,,umenishnda tabia…!!!
 
WANAWAKE BHANA MUNGU ANAWAONA

Jamaa kaamka asubuhi kavaa track suit akamuasha mkewe
MUME:Amka twende jogging mke wangu? [emoji4]

MKE: Alaaa kwa hiyo una maana mi tipwatipwa?[emoji19]

MUME: Hapana si hivyo jogging ni nzuri kwa afya. [emoji54]

MKE: Kwa hiyo una maana mi mgonjwa? [emoji53]

MUME: Basi yaishe endelea kulala

MKE: Kwa hiyo unaniona mi mvivu sana sio?
MUME:Hujanielewa mpenzi wangu sikuwa na maana hiyo baby [emoji47]
MKE:Kwa hiyo mie mjinga mpaka nashindwa kukuelewa?[emoji40]
MUME:Jamani mi sijasema hilo[emoji20]
MKE:Kwa hiyo mie muongo?
MUME:Chonde tusiendeleze haya asubuhi namna hii[emoji21]
MKE:Kwa hiyo mie ndio naendeleza ugomvi?[emoji36]
MUME:Sikia we lala mie naenda jogging.[emoji43]
MKE:Ndio zako hizo mambo yote unafanya peke yako hunishirikishi"
MUME:Unajua nimeanza kusikia kizunguzungu
MKE: Unaona nikiongea kidogo unakimbilia kuumwa, mbinafsi sana wewe......
Jamaa nimemuacha kibarazani kwake amewasha kipisi cha bangi anapiga paf anatafakari la kufanya[emoji189][emoji189][emoji189]

ha ha ha
 
Siku moja John na Beka walikuwa porini wanakunya, jinsi ya kutawaza ikawa inshu.
Beka kamuuliza Joni... "hivi joni mavi huwa yanang'ang'ania kwenye nguo zako?"
Joni akajibu kwa msisitizo.... "Hapana... hapana beka, haijawahi tokea mavi yakagandia kwenye nguo zangu.
Basi beka kwa haraka sana akachamba kwa kutumia shati la joni..
 
Majivuno mda mwingn hayafai, jamaa mmoja alipanda daladala kidogo sim ikaita akaitoa mfukon alipoangalia akaona mke wake alikuwa anapiga, kwa kutaka kujionyesha akapokea simu na kuweka loud speaker akiwa na abiria wenzake, jamaa akauliza mke wangu muda huu umenimiss au tatizo nini nambie bac baby,mke akajibu sijakumiss nataka kujua kwa nini umevaa chupi ya mtoto? abiria walicheka mpaka kulaliana[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
😀😀😀😀
jamani jamani sifa hizi
 
Huyu nae pombe ikasababisha ajianike
7.jpg
 
Back
Top Bottom